Mie.hutengeneza yangu locally. Naweka icecream kwenye jumbo glass kama nusu, naweka maziwa robo. I have a beater ambayo ni ya kupress tu (nadhani egg beater inaweza kufanya pia). In a minute, violaaaa!
Ama unaweza kutumia shaker kama unayo kubwa. Muhimu maziwa yawe nusu ya icecream. Unaweza tia flavour kiasi kama unapenda chocolate.
pole mamii!]ni rahisi
mahitaji ni
maziwa(inategemea na idadi ya watu @ glass )
ice blocks kiasi
juice ya chungwa ,embe,nanasi,tofaa,papai (inategemea na flavor unayotaka)
vanilla essence (sio lazima)
then
andaa juice
weka maziwa kwenye glass
weka barafu
thn weka juice kwenye maziwa yenye barafu
unaweza kuweka sukari ukipenda sio lazima
koroga thn ni tayar kwa kunywa!
(well mi sijaiandaa kitaalamu kihhiivyo like ile vipimo sijui nini inawezekana mwingine anajua na vipimo so ongezeamo ujuzi humo!)
asante, nashukuru wala hivyo vipimo usijali, mi nataka tu kujua formula ila nauliza kidogo,.hayo maziwa ni aina gani? mgando au fresh?
Ndugu zangu naomba mnisaidie jinsi ya kuandaa/kutengeneza milk shake,.naishia kunywa tu mahotelini, naipenda ila kuiandaa ndo sijui.Ahsanteni
pole mamii!]ni rahisi
mahitaji ni
maziwa(inategemea na idadi ya watu @ glass )
ice blocks kiasi
juice ya chungwa ,embe,nanasi,tofaa,papai (inategemea na flavor unayotaka)
vanilla essence (sio lazima)
then
andaa juice
weka maziwa kwenye glass
weka barafu
thn weka juice kwenye maziwa yenye barafu
unaweza kuweka sukari ukipenda sio lazima
koroga thn ni tayar kwa kunywa!
(well mi sijaiandaa kitaalamu kihhiivyo like ile vipimo sijui nini inawezekana mwingine anajua na vipimo so ongezeamo ujuzi humo!)
thanks for lesson hasa home made inafaa kweli stay blessed mkuu..
Je mtindi haufai au unafaa kutengenezea help plz..
wewe umesema hua unakunywa hotelini ina maana hujui taste ya maziwa kam ni mtindi au fresh?
Mh!! hapo sasa ,kwa kina sie jaribujaribu,mie nimewahi kuandaa ya kwangu siku moja baada ya kukaa na kujiwa na wazo hilo,ila sasa mie yangu sijui kama inafaa kuwa milk shake au ni something else ila ni palatable as well.
Ingredients zangu zilikuwa ni kama vile ifuatavyo;
1. Maziwa fresh kama lita 1
2. Vanilla essense
3. Papai nusu
4. parachichi a.k.a avocado
5. ndizi kama ukipenda
Procedures
1. andaa papai,parachichi na ndizi zako vizuri lako vizuri ie osha na menya na pia katakata katika vipande vidogo vidogo
2. weka hayo matunda yako kwenye blender na yasage huku ukiweka maziwa yako taratibuu kwa kadiri utakavyo.
3. weka sukari kama unapenda nayo ni tamu tu
4. weka hiyo vanilla essence katika huo mchanganyiko then blend tena ili iweze ku-penetrate ila pia usisahau ice-blocks as mie niliweka just for fun ila kuna member kasema ya kuwa hizo ice-blocks zasaidia maziwa yasikatike. However am subjected to any challenge.
Thanks, naona zile ndizi ndogo ndogo (visukari) ndo nzuri zaidi, hope upo palepale ndo yenyewe bwana...kama sijakosea
pole mamii!]ni rahisi
mahitaji ni
maziwa(inategemea na idadi ya watu @ glass )
ice blocks kiasi
juice ya chungwa ,embe,nanasi,tofaa,papai (inategemea na flavor unayotaka)
vanilla essence (sio lazima)
then
andaa juice
weka maziwa kwenye glass
weka barafu
thn weka juice kwenye maziwa yenye barafu
unaweza kuweka sukari ukipenda sio lazima
koroga thn ni tayar kwa kunywa!
(well mi sijaiandaa kitaalamu kihhiivyo like ile vipimo sijui nini inawezekana mwingine anajua na vipimo so ongezeamo ujuzi humo!)
Mama snow, ahsante. Nimejifunza, but more precisely - umenifunza