wakuu naomba niombe ushauri kidogo, kwa tanzania hii ni modem gani (shirika lake na model yake) nitakayoweza kubadili laini zote za CDMA kwa mfano zantel , ttcl na sasatel.?
hizi za HSDPA tayari ninayo ya tigo E153 ambayo inakubali laini za airtel, vodacom na tigo yenyewe.
pia naomba kujua kwa sasa bei za modem za CDMA zinazotumia line ni bei gani pamoja na company husika.?
Impossible
Kwa Bongo haina upoa wowote sababu coverage yao ni ndogo sana. Pia their higest speed ni normal tu yani 3.mbps kama wengine so hakuna jipya. GSM zinabamba sana coz kikubwa ni coverage.Mkuu kubadili CDMA kuwa GSM nadhani haiwezekani mkuu!! sababu ya hardware issues!! kama kunamtu ataweza hili atakuwa wa kwanza ila sijui. CDMA ni poa sna mfano sasatel speed ipo poa sana
Mkuu mbona mwanzo ulianza vyema nakusaidia watu kwa moyo wote bila kutoza ata centi. Mbona sasa umekuja na gia hii kulkoni mbona usamaria wako cuoni tena, apa ni jf tunasaidiana kwa mawazo na maujanja sasa why hautak kushare hadharani?ninauwezo wa ku-unlock full.
pm me
ndio nimekusoma mkuu. ila zinapatikana wapi? bila shaka kwa bongo hamna. kuna mwenye nayo katika memberz wa JF? let us share.KAMA MNAHITAJI KUUNLOCK MODEM AMBAZO ZIKO CUSTOMIZED FIRMWARE INAWEZEKANA LAKINI KUZIUNLOCK INAHITAJI UNUNUE Mkey Dongle DEVICE NDOGO KAMA USB FLASH AMBAYO KAZI YAKE NI KUFUNGU HIZI MODEM HADI AMBAZO ZIMESHINDIKANA