Jinsi ya ku-host website na kuregister domain free of charge

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
KUWA NA WEBSITE NI JAMBO LA KUAMUA TU. HATA KWA WALE AMBAO HAWANA UTAALAM MKUBWA WANAWEZA KUWA NA WEBSITE.

KITU CHA KWANZA NI KUFUNGUA FREE HOSTING ACCOUNT AMBAYO ITAKUPA:
  • FREE MYSQL DATABASE
  • FTP ACCESS
  • FREE WEBSITE TEMPLATES
  • FREE EMAIL AND MANY MORE
KUFANYA HIVYO, CLICK HAPA FOR SIGNING UP:

FREE WEBHOSTING WITH PHP AND MYSQL

BAADA YA HAPO UTAWEZA KUWA NA WEBSITE NA UNAWEZA SAJIRI DOMAIN BURE KUTOKA CO.CC - Free Domain name registration + Free DNS service. AU Free URL Redirection, No Ads! Short Free Domain Name (you.co.nr)
AMBAPO UTAWEZA AD NAME SERVERS (NS) NA KUPOINT KWENYE HOST WAKO

ANZA SASA.
 
nimejaribu ku-creat na imekubali,naomba nisaidie tayari nipo natengeneza website yangu kutumia microweaver 8,sijui kama unaijua,
swali langu nawezaje kuingiza website nilitoyengeneza kutumia software nyingine?nataka niiweke hapa kwa sababu ni free
 
nimejaribu ku-creat na imekubali,naomba nisaidie tayari nipo natengeneza website yangu kutumia microweaver 8,sijui kama unaijua,swali langu nawezaje kuingiza website nilitoyengeneza kutumia software nyingine?nataka niiweke hapa kwa sababu ni free
rosemary jaribu kwenda file manager then upload page zako. I think zitakua html page hii webhost ni nzuri kwa proffesional lakini kama wewe ni beginer kabisaaaaaa hujui haya mambo register wehost hii http://webng.com then upload kwenye file manager
 
rosemary jaribu kwenda file manager then upload page zako. I think zitakua html page hii webhost ni nzuri kwa proffesional lakini kama wewe ni beginer kabisaaaaaa hujui haya mambo register wehost hii Free Hosting, Free Web Hosting, Free hosting, Free ASP Hosting then upload kwenye file manager


thank you,
unajua nilifikiri ku-creat web page ni kitu kigumu.
unaweza kuamini nimejifunza kwa week moja?na nimeelewa,nataka nibadilishe profession niende kwenye ict zaidi,japo ni safari ndefu
 
rosemary jaribu kwenda file manager then upload page zako. I think zitakua html page hii webhost ni nzuri kwa proffesional lakini kama wewe ni beginer kabisaaaaaa hujui haya mambo register wehost hii http://webng.com then upload kwenye file manager


nimekwama kabisa,nimedownload page ya html lakini sijui ilikoelekea
nime-click file manage nikaenda browser halafu nika-upload file yenye web kutoka mydocuments
naomba unisaidie kidogo process baada ya kutoka file manager

net2ftp - a web based FTP client
 
Back
Top Bottom