Jinsi ya Ku copy contacts from Blackberry to pc

tovuti

Senior Member
Oct 29, 2009
160
11
Wana Jf Msaada wenu pls, nitawezaje ku copy contactz zangu katika blackerry, ziko ndani ya phone book (natumia BB Curve)

ziende kwenye computer?

Natanguliza shukrani..
 
Kuna njia mbili tu ambazo nazijua. Ya kwanza ni ile ya kucopy # moja moja kwenda kwenye sim card

Na nyingine ni ya kutumia Desktop Manager ku-backup contact zako, shida ni kwamba ukibackup kwa njia hii huwezi kurestore hizo contacts kwenye simu nyingine tofauti na aina ya BB.
 
Na nyingine ni ya kutumia Desktop Manager ku-backup contact zako, shida ni kwamba ukibackup kwa njia hii huwezi kurestore hizo contacts kwenye simu nyingine tofauti na aina ya BB.[/QUOTE]

contacts ni nyingi sana siwezi ku copy moja moja.....

Na hiyo ya Desktop Manager ni process ndefu sana mpaka ni install.....hakuna simple hata niweze ku copy katika memory card???
 
Sio kweli kuwa ukizicopy kwenye PC kwa kutumia Desktop Manager uwezi zikopy kwenye simu nyingine.Mimi nna BB curve na Nokia na uwa naweza. Copy kwenye yeyote kwa kutumia desktop manager na software ya Nokia,the same na samsung na nyinginezo,cjajaribu na any ya Mchina so hapo cjui.Mkuu download desktop manager install na fuata maelezo.uwezi copy kwa sim card contact za Blackberry,brackberry in serve kwenye jina moja mpaka namba za simu 4 na phyisical address na jina la kampuni.kama utashindwa tuwasiliane nikupe software na training mkuu
 
Chipukizi ... Desktop Manager ninayo...au una software gani nyingine? mimi niko Dar mkuu, wewe uko maeneo gani ili niweze kuwasiliana na wewe??
 
Last edited by a moderator:
Chipukizi ... Desktop Manager ninayo...au una software gani nyingine? mimi niko Dar mkuu, wewe uko maeneo gani ili niweze kuwasiliana na wewe??
Sasa mkuu kama una Desktop Manger unashindwa nini au unakwama wapi? unamaana wewe hufanyagi backup ya simu yako?
 
Last edited by a moderator:
Chipukizi , Mringo na wana Jf wote msaada wenu pls

Njia nzuri create backup hata kama hauwezi kuzirestore kwenye simu nyingine lakini shida inapokukuta utaweza hata restore kupitia simu ya rafiki...Hvi majuzi nilikutwa na makubwa sana na ilikua siku mbili tu baada ya ku-create backup kwa mara ya kwanza...ni hivi nilirudi kazini nikiwa frustrated sana nikajikuta hata password ya simu siikumbuki,,,nilipojaribu mara 10 ikajiformat ikafuta kila kitu...Wekeni backup kabla hamjakutwa na yaliyonikuta...Nikipata ujanja mwengine nitakutupia
 
Back
Top Bottom