Jinsi ya ku-connect more than one computer to internet wic a single internet moderm...

Aug 15, 2012
9
2
WAKUU!!!!!!!!:spy:
Kwanza Heshima mbele yenu.
Naomba msaada jinsi ya kuunganisha (ku-connect) kompyuta zaidi ya moja kwenye Mtandao wakati huo nina Internet Moderm (Airtel moderm) moja.

Msaaaaaada pleaaaaaaase kwa anayefahama.

Saruti nyingi sana WAKUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

***Good thingx always came later, we must be patient 2 dis***
 
hiyo ni kazi rahisi sana kijana, kama umeishafanya connection basi chomeka modem yako kweye server yako kisha share hiyo network utapata inertnet kiulaini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom