Jinsi ya ku activate missed call alert...almaaruf kama nani kapiga (airtel)

ccr airtel

Member
Mar 27, 2011
96
13
1.TUMA NENO SUB KWENDA NAMBA 15524,utapata maelekezo ya kuchagua lugha nawe utachagua
2.bonyeza **62*+255784101125#

Mpaka hapo utakua umeshajiunga na huduma hiyo ambapo utakapopigiwa simu wakati umezima utapata ujumbe kukujulisha aliyekupigia na pia aliyekupigia atajulishwa kuwa simu yako imekwishawashwa

HUDUMA HII NI BURE KABISA
 
Shukran sana kwa taarifa na maelezo muhimu. Ngoja nifate hizi steps sasa alafu nitakupa feedback
 
Mkuu umesema baada ya kutuma message nitapata maelezo. Ila sijapata maelezo yoyote hapa. Kama kuna namna unaweza kunisaidia nitashukuru mkuu
 
maelezo yenyewe huwa ni 'tuma neno L1 kwa lugha ya kiingereza na L2 kwa lugha ya kiswahili,na hata kama hujajibiwa bado unaweza kutuma kwa ajili ya kuchagua lugha...cha msingi zaidi ni hayo maelezo ya pili (ambayo ni shortcut ya call divert) ukimaliza hapo we zima simu kisha tafuta simu nyingine ujibeep ili kupata uhakika zaidi na kuhakiki kama zoezi limefanikiwa...feedback mkuu ukifanikiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom