Jinsi walivyo facebook

Mr. Magena

Member
Aug 30, 2011
35
4
1. THE COMPLAINERS- hawa
yani
Umeme usikatike Kidogo ,.
Lazima
Watoe Status kuhusu Umeme au
Tanesco
2. THE PREACHERS- Hawa
wenyewekila
Ijumaa ujifanya
Wameguswa sana ..
Wanatoa Status za Dini tu
3. THE CONFUSED - Hawa
wenyewe Leo
Unakuta Single , kesho
Married ,. Kesho
kutwa Single tena,. Mara In
Relationship, mara album
4. WEATHER FORECASTERS-
hawa
wenyewe yani hali ya Hewa yoyote
lazima watoe Status .. Kama
ni
Joto ,.
Baridi au Kama Mvua
Inyesha 5. THE TRAVELERS - Hawa
kila
wiki
lazima Watoe Status za
kusafiri
tu.. Kesho Ntakua Ndani ya
dubai,.
Baada
ya wiki utasikia ,. Narudi
Zanzibar ,. Hila
sikai Sana .. Nikitoka hapo naenda
Nungwi
6. THE UNHEALTHY LOT-
hawa
kila Siku
Wanaumwa ,. Mara Headache,.
Mara
Stomachache .. Status za
kuumwa kila
siku.
 
i see...
Sijafungua akaunti yangu ya fb kitambo.....
Acha niende kutembea huko leo....
 
confused ones ndo wananichekesha kwan lazima uweke relationship status yako kujitia nuksi
 
Facebook ni upuuzi mtupu

Wanaokataa waseme siyo!
1 , 2 , - 12
wanaoafiki waseme ndiyo!
1 , 2 - 350,000
waliyosema ndiyo wameshinda.
Nway Kiongozi Buji long time no see you !
Unaonekana kinyatunyatu! Kuliko nini ?
 
fo sho. unakuta mtu kakurupuka anapost. nimechokaa . . . sa cjui kuchoka kwake kunahucana nini facebookers!

pia unaweza kukuta jamaa au Mdada anaheshimika wapa lakini ana Aibu mbele ya vijana kuandika Mambo ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom