Jinsi wabongo wanavyoweza kustahimili mafuriko hadi kwenye lager . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
rrrrrr.png

Usidanganyike kwa kutoona chupa yoyote ya Bia hapo . . . .
:tonguez:
 
Duh! Mi mpenzi wa hii kitu (biere), laklini hapo sina la kusema mazee, mnatisha!!
 
Ndugu yangu epuka tabia ya kujumuisha, kundi dogo hilo haliwezi kuwakilisha watanzania wote,heading yako haifai,inatukosea wengi,tafadhali tuombe msamaha.
 
Raha zingine zinaboa kweli, ila hapa pamoja na kwamba ni kundi dogo tu lakini inapredict uhalisi wa general life ya watanzania walio wengi, hasahasa waishio bila kazi.
 
Ndugu yangu epuka tabia ya kujumuisha, kundi dogo hilo haliwezi kuwakilisha watanzania wote,heading yako haifai,inatukosea wengi,tafadhali tuombe msamaha.

Maisha yangu sio magumu kiasi hicho kama mawazo yako yalivyo
Au leo umeamshwa, hujaamka mwenyewe????
Hapo kwenye heading nimeandika WABONGO sasa ningeandika WABONGO WOTE si ndo ungeniombea BAN kabisa???
Au wewe umo ktk hiyo photo??? Hao pekee hawawezi kuitwa Wabongo???
Pevuka kijana . . .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom