Jinsi picha FAKE ilivyotengenezwa

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754

NAITWA JACKSON MWANGILI, NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES ALAAM,NAUTAALAMUKIDOGO KUHUSIANA NA MAMBO YA GRAPHICS,NIMEAMUA KUONYESHA NAMNA PICHA FAKE YA OSAMA ILIVYO TENGENEZWA,HII TASAIDIA KUONDOA UTATA WA PICHA HIYO MIONGONI MWA VICHWA VYA WATU,AMBAO WANABISHANA UHALISI WA PICHA LE! HATUA HIZI NIMEZIWEKA WAZI NIKIJARIBU KUTENGENEZA PICHA HIYO FAKE WA HATUA ZANGU BINAFSI KWA KUTUMIA SOTWARE MAALUMU YA GRAPHICS KWA KUTUMIA VYANZO VYA PICHA MBILI HALISI NA KAMA UNAVYO ONA MATOKEO YAME KUWA KARIBU SAWASAWA!
http://api.ning.com/files/2ePznDA0b...MzY7q5EeVH7emB-FlqtxogO1nbHykJTRM-OrQ__/1.jpg
 
You will never see Osama walking on this earth again_Baraka Obama
 
Wamarekani hawajatoa picha yoyote ya Osama. Wanaobishania jambo hili la picha hawana kazi ya kufanya.
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye utaalamu kidogo wa mambo ya graphics!
Vipi, you have nothing else to do instead? Why waste your time?
 
NAITWA JACKSON MWANGILI, NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES ALAAM,NAUTAALAMUKIDOGO KUHUSIANA NA MAMBO YA GRAPHICS,NIMEAMUA KUONYESHA NAMNA PICHA FAKE YA OSAMA ILIVYO TENGENEZWA,HII TASAIDIA KUONDOA UTATA WA PICHA HIYO MIONGONI MWA VICHWA VYA WATU,AMBAO WANABISHANA UHALISI WA PICHA LE! HATUA HIZI NIMEZIWEKA WAZI NIKIJARIBU KUTENGENEZA PICHA HIYO FAKE WA HATUA ZANGU BINAFSI KWA KUTUMIA SOTWARE MAALUMU YA GRAPHICS KWA KUTUMIA VYANZO VYA PICHA MBILI HALISI NA KAMA UNAVYO ONA MATOKEO YAME KUWA KARIBU SAWASAWA!
http://api.ning.com/files/2ePznDA0b...MzY7q5EeVH7emB-FlqtxogO1nbHykJTRM-OrQ__/1.jpg

Nani aliyedanganya? maana wamarekani hawajatoa picha mpaka sasa.
 
Hongera sana Mtoa maada, Umejitahidi sana kuwafahamisha walio wengi!

Nilisema na ninasema tena Kifo cha Osama Ni Changa la Macho!

Kubali au Kataa Sio ishu!
 
Wamerekani na "technology" wanayojivunia hawana haya wala hawajuwi vibaya kumsaka mtu mmoja kwa miaka kumi na tano? Na matrilioni ya mapesa waliyotumia na kuua mamilioni ya watu wasio na hatia. Haa, halafu utakuta Binladen hahusiki na yote wanayomsingizia. Eti kwa sababu tu kakataa kuwa kibaraka wao.

Jee, hatukumbuki uongo waliozuwa kwa Saddam, kupata sababu ya kumshambulia? Eti ana silaha za maangamizi? Hizo silaha kazificha wapi? Mbona hawajasema wala kuziona, umewashuka. Mahasidi wakubwa.

Kazi kuuwa vitoto vidogo na wanawake, mwanamme wa kweli mmoja tu, kawahenyesha vya kutosha. Hawana haya kujisifu?
 
sasa ninyi watu kwa nini mnumiza akili zenu kiasi hiki jamani!
mnadhani kuna faida gani ambayo Obama anapata kama akisema kua wamemuua osama
while sio kweli!!

na kama DNA ya Osama ilikuepo be4 kuuawa kwake (kumbuka alikua mjeshi wa marekani) na test ya ile maiti iliyouawa ikamtch 99.9%
mnataka marekani waseme ni nani sasa aliekufa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom