Jinsi pesa yetu inavyoliwa!!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Nipo na mdogo wangu ni dereva katika taasisi ya serikali iliyo chini ya waziri Omari Nundu anaendesha suzuki vitara,anasema wakienda DT Dobie kwa ajili kufanya service ya Air Condition tuu huwa wanalipa Tshs 7million!!nimesikitika sana wakati huo huo xray ya hospital ya mwananyamala imeharibika spear ya sh 3m hakuna pesa wanasema wanasubiri bajeti ya mwaka 2012/13.Jee magari kama hayo yapo mangapi serikalini yenye kula pesa za wala jasho?
 
hizi ni standard allegations.
naona sasa ni wakati wa kuziupgrade ziwe na mashiko zaid, mwaweza kuattach purchase order, profoma au hata invoice. things we call proof of foul play
 
ungekua unafanya kazi usalama wa taifa au takukuru naona ungeua mtu siku moja!, maana hayo madudu wanayaona sana ila wale wenye moyo kama wewe hawana uwezo kuyazuia!
 
Back
Top Bottom