Jinsi nilivyo na mtazamo wangu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
True Story!!.jpg
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!
 
mmmh hakunaga
watu wabinafsi kweli wapo buusy na maisha yao
 
View attachment 66827
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!

Wengi wanatamani hivi, lakini changamoto na ugumu wa maisha plus harakati za kupambana na maisha huufanya muda huo kuendelea kuwa finyu siku hadi siku ...
Inafikia kipindi wenye mahusiano wanatakiwa ku-trade off kati ya kusaka maisha kwa kasi zaidi au kuwa na muda wa kutosha kuburudishana na mpenzi ...
 
Itabidi awe maskini, maskini siku zote huwa na muda wa kutosha.
 
Dah ni ngumu kwa kweli...ingawa kila mtu anataman hivyo bt hali ngumu ya maisha hairuhusu!!
 
Ni ngumu sana kutokana na LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!
 
kwa Chiswahili chetu as far as I remember the concept ni kwamba; hamu ya kuwa na kitu fulani hupungua kwa kadiri unavyoendelea kukipata. sasa mdau iunganishe na agenda iliyopo mezani

thanks
there is something about you
something that raises curiosity....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom