Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 249
Kutokana na mabadiliko ya dunia, walimu pia mnatakiwa kubadilisha mbinu ya kufanya kazi. Tuition sidhani kama inawalipa jinsi mnavyo dhamiria.
Kwa upande wangu mimi nashauri hivi;
Kwa mfano, kama wewe ni mwalimu wa Economics au somo lolote, kutokana na syllabus inayotakiwa nchini unaweza kutoa DVD yenye kuelezea topics za somo lako. Inakuwa kama vile unavyo fundisha darasani. Pia unaweza kutoa CD ya notice instead of a pamphlet.
Pia njia nyingine ni to solve a number of past papers through DVD.
(usiwaze kuhusu kuchakachuliwa let it be a by the way case)
Kwakufanya hivyo utaweza kuwa fikia walengwa kwa njia safi. Kwa wale wasio na access ya computer or DVD player, shule husika zenye upungufu wa walimu will have to do the necessary na kwa taratibu they will adapt to the situation.
Lakini wewe mtoa DVD na CD kipato chako kitakua kimeongezeka.
Naomba kuwakilisha.