Jinsi mipasuko hata kwa wazungu??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Cheka unenenpe kumbe hata wazungu nao jinsi huwa zimepasuka si walete kwa fundi hapa mtaani kwenu awashonee viraka

007.jpg

019.jpg

013.jpg

002.jpg
 
I thought these are included among the dirty pictures we were told not to post?
Anyways this shows the freedom of expression here at JF. But as for me, no comments!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
nadhani hawa siyo fashion watakuwa wlipata ajali unajua ukipakizwa ktk baisikeli au pikipiki ukinasa kwenye kiti ndiyo matokeo yake, nimewahi pata kama hiyvo ila wazungu kwa ubunifu wao wakafanya adventure nasi kwa kuiga tunaona bonge la fasheni,unajua wazungu hata wakianza kula kinyesi tutaiga kwa ushamba wetu
 
I thought these are included among the dirty pictures we were told not to post?
Anyways this shows the freedom of expression here at JF. But as for me, no comments!
<INPUT id=gwProxy type=hidden><!--Session data--><INPUT id=jsProxy onclick=jsCall(); type=hidden>

I support you mkuu. Kuna watu hapa wanataka kuigeuza JF kuwa ze Utamu. Mods inabidi waliangalie hili.
 
I thought these are included among the dirty pictures we were told not to post?
Anyways this shows the freedom of expression here at JF. But as for me, no comments!
<INPUT id=gwProxy type=hidden><!--Session data--><INPUT id=jsProxy onclick=jsCall(); type=hidden>
umelazimishwa kuangalia kwani
 
Hao ndo walioanzisha michezo ya kutoboa toboa nguo,na hii inatokana na kutokujiamini kwao kuwa hawavutii na mi afrika mijinga inaiga tuu!!
Nadhani hapa wajinga zaidi ni hao walioanzisha na sio waafrika kwa kuwa kilichotokea hapo waafrika wameiga tu, sina hakika sana kama kila cha mjinga ukiiga nawe utakuwa mjinga (kutukanwa inauma, unanishangaza unavyojitukana mwenyewe wawezaje kujiudhi mwenyewe?) au una nafsi mbili?
 
nadhani hawa siyo fashion watakuwa wlipata ajali unajua ukipakizwa ktk baisikeli au pikipiki ukinasa kwenye kiti ndiyo matokeo yake, nimewahi pata kama hiyvo ila wazungu kwa ubunifu wao wakafanya adventure nasi kwa kuiga tunaona bonge la fasheni,unajua wazungu hata wakianza kula kinyesi tutaiga kwa ushamba wetu

Mmmh hilo la kula kinyesi baba utaiga mwenyewe na ukalakabaho wako
 
uhuru wqa kuchangia na kutoa mawazo kama mada huipendi kaa pembeni waache wenye fani zao,hapa wengine hawapendi mada za siasa wengine za mapenzi nk,mpendwa tunahitaji uvumilivu katika wakati huu wa utandawazi na uhuru wa kupindukia.Jirani yangu alipiga marufuku magazeti ya udaku nyumbani kwake ati mabinti zake wataharibika,siku alipoletewa gazeti binti yake amepigwa picha beach alitaka kuzimia
 
picha za namna hii cyo za kuleta JF,Kuna mambo ya msingi ya kujadili cyo mavazi ya ajabu ajabu kama haya,
 
uhuru wqa kuchangia na kutoa mawazo kama mada huipendi kaa pembeni waache wenye fani zao,hapa wengine hawapendi mada za siasa wengine za mapenzi nk,mpendwa tunahitaji uvumilivu katika wakati huu wa utandawazi na uhuru wa kupindukia.Jirani yangu alipiga marufuku magazeti ya udaku nyumbani kwake ati mabinti zake wataharibika,siku alipoletewa gazeti binti yake amepigwa picha beach alitaka kuzimia

Mabinti zetu wa zama hizi wengi wanaharibiika mapema sana
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mwenyewe hivyo kuna kipindi America watu huwa wanatembea uchi kabisa hapa hakuna kitu kipya kabisa
 
Na inakuwaje mtu anavaa jinsi ilivyo ngumu mpaka inachanika?
usishangae ukisikia mtu kainunua ikiwa hivyo hivyo!na jinsi tunavyopenda kuiga utaona muda si mrefu dada zako tunavaa hivyo hivyo.
btw,sijafurahia hizi picha kuwepo hapa!nonsense!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom