Jinsi mdahalo ulivo muathili 52atiwm..

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,195
Kuna mdahalo uliendeshwa hapa janvini..
Na wahusika wakuu ni huyo aliyetajwa hapo juu upande mmoja na upande mwingine ni kiranga himself.
Kwakwel mdahalo huo ulianza kwa mbwembwe nyingi, lakini mh.52atiwm yeye alianza kwa mkwara eti mtoa mada apelekwe milembe.
Upande wake mr.kiranga yeye alienda mojakwamoja kwenye point,nakunza kurusha mapande mazito mazito..
Hali ilizidi kuwa tete kwa upande wa 52atiwm akapotea hewani.
Wengi tulishangaa huyu kijana,kwani maneno yake kama 'muckrakers,phillia,tendentiousness,grandiloquence and linchpins hatukuyaona bali tulipata mapya kutoka kwa kiranga.
Baada ya mdahalo huo siku hizi 52atiwm amekua hapatikani,zile thread zake hatuzioni tena..ni mwoga kuongea kiinglishi chake..
Wito wangu kwakwe;nakuomba bwana 52atiwm rudi janvini kwa kishindo,yaliyopita si ndwele.. Usiogope kingeleza chako bado kipo juu..tushilikiane kumrudisha wadau.
 
nI KWELI HUYU DOGO KWA SASA AMEINGIA MITINI!
We are missing him anyway!
 
Back
Top Bottom