Malaria Sugu na FaizaFoxy wame hijack akili zako??Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.