Jinsi Karamagi alivyokaangwa Bungeni (Picha)

Hawa jamaa ni kama vile wemekurupuliwa toka usingizini, hawajui washike wapi, mnakumbuka hizi shutuma zilipoanza, Kiranja akamuru mawaziri kupita nchi nzima wakihubiri kuhusu Bajeti na kuisafisha serikali? sijui leo mzee atawanyamazisha vipi hawa watanzania, sijui itakueje!!!
 
Hivi nyie watu wa Bukoba vijijini mlimtuma mbunge wenu atetee maslahi yake binafsi bungeni? au mn hisa katka kampuni hii. Je mawaziri na wabunge wetu wafanya niashara hawawezi kutofautisha kati ya personal and public affairs. Ya Masha yanajirudia. Tutafika kweli? ais timiza ahadi yako ya viongozi wa umma kuchagua siasa au biashara maana yaelekea siasa ni njia ya kutetea na kuneemesha biashara zao. Conflict of interests can not be avoided in the current state of affairs. Nafikiri Rostam Aziz aliposema kuwa ni mtihani mkubwa kwa wafanybiasharasiasa kuziacha biashara zao zikasimamiwa na mtu mwingine was right. Please do the needfull baada ya kuona uzito wa hoja.
 
Huyu kajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake kwa kujaribu kumtetea mtu ambaye jahazi lake tayari linazama, baada ya kukaa kimya au kuzamiasha kabisa la mkapa kaamua kumtetea bila kujua kuwa anazidi kuzamisha la kwake. Karibu bwana karamagi kijiweni kwani hata Vertex itaangaliwa kwa makini sana.
 
Hivi watu wa hawa CCM hawana mishipa ya noma ? Kwa jinsi walivyo fanya kweli Karamagi anaweza kusimama Bungeni na kusema lolote ?
 
Akaanza,
karamagi001.jpg


akajitahidi...
karamagi002.jpg


gia kubwa..
karamagi003.jpg


Mwanachama mwenzake..
karamagi004.jpg

Have a good weekend!! listen to Bongoradio on Sunday, we might have something from Dar for you.

M. M.


NB: Picha zote original kwa hisani ya Khamis Athumani.

Mkuu Mwanakijiji,
Hiyo picha ya mwisho ndio inaonyesha "vijisenti"...I mean billionaire row au? :)
 
jamii nyingi zimepitia hatua mbalimbali kufikia mafanikio,hatua zingine ni mbaya,jaribu kusoma historia ya nchi zilizoendelea utaona.Kwa sasa hapa kwetu akina Nazir,el,ra,bwm, jk na wengine ndio wanatupitisha ili tufikie mafanikio.Kikubwa kwetu sisi tufunue kila jiwe.

Kwa hio unamaanisha hatua ya sasa ya MAFISADI kuchota fwedha ya umma zinaiga historia kutoka wapi?

Are you serious?
 
Akaanza,
karamagi001.jpg


akajitahidi...
karamagi002.jpg


gia kubwa..
karamagi003.jpg


Mwanachama mwenzake..
karamagi004.jpg

Have a good weekend!! listen to Bongoradio on Sunday, we might have something from Dar for you.

M. M.


NB: Picha zote original kwa hisani ya Khamis Athumani.

japo ni muda mrefu nilitamani kuziona hizo picha
 
Back
Top Bottom