jinsi gani ya kuomba hifadhi ya kisiasa nje ya nchi?

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
mi nimechoka kuishi tz coz hakuna fursa yoyote ile na siasa inaanza kuleta vurugu.... sasa mwenye uelewa anijuze taratibu za kufuata wakati wa kuomba hifadhi za kisiasa especially napenda ujerumani canada japan au australia,,,,,nawakilisha
 
Itabidi ukurupushane na serikali hata ukiweza upange njia za kutaka kuipindua japo feki,kisha ukimbie nje ya nchi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom