jinsi gani ntaiiunganisha line mpya ya airtel kwenye internet?

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
nmenunua line mpya ya airtel, tayari nmeshaisajiri ila nikitaka nnunua internet bundle inakataa?
nifanye nini kusolve hili tatizo?
 
tuma internet kwenda 15444 hakikisha una zaidi ya Tsh. 2,500/=
 
Weka line yako (simcard) ndani ya simu yako ya mkononi kisha andika *154*44# kisha piga, chagua lugha, endelea kufuata maelekezo.......ili ununue kifurushi,......utafanikiwa tu.
 
Back
Top Bottom