The Pen
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 755
- 256
Hakikisha kama una idea unaiandikisha brela ili kama kuna mtu amekuchakachua uwezekumshitaki klwasababu utakuwa na haki ya umiliki wa hiyo idea
Mkuu, idea huwa haiandikishwi BRELA. Hawa wanahusika na kusajili na kutoa vibali, km jina lao lilivyo "Business Registration and Licensing Agency". Hiyo idea ya mleta mada inahusiana na haki miliki (copyright), na wahusika wakuu ni mwenye idea na COSOTA. Hawa COSOTA ni watoa ushahidi tu mahakamani, km mwenye idea akiwatumia idea yake ili kutengeneza ushahidi unapohitajika. Nashangaa sana kuwasikia maofisa wa COSOTA wakiingia mitaani eti kusaka kazi zinazoibwa wakati hii ni kazi ya wasanii wenyewe!!
Punde hivi nitaandika ushauri wangu kwa mleta mada na kwa wengine.