jinsi gani naweza ku divert

inaonekana mhusika yupo tayari kwa hayo yote mnayodhani yatamuathiri, mpeni jibu tafadhali.
 
Kuna mtu niliishawahi kumfundisha hii mambo na pia jinsi ya kutrack location ya mtu yuko sehemu gani ukimpigia simu, matokeo yake akarudi kunilaumu mimi lol!!
 
Mbona hakuna anayejibu swali?

humu duniani kuna kitu kinaitwa law of action and reaction (law of karma),ukitoa maelekezo ya jinsi ya kudivert (kama alivyoomba) kisha mtoa mada akadivert kwa maelekezo yako na akafanikiwa ,ina maana litakalotokea baada ya hapo ,by implication , litakuwa linakuhusu na wewe mtoa tuition,upo hapo Mkuu? Kibaya zaidi jamaa anataka maujuzi ili ayatumie kufanya mambo ya hatari.
 
Jf bhana baada ya kutoa majibu na wengine tupate maujanja longolongo nyiiingi!!!
 
Then ukisikia? kuna watu wanakaribisha magonjwa ya kujitakia, ukipata presha sio huyo unayemwangaikia atapata hasara bali wazazi wako na ndugu zako wa karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom