Jinsi CCM Itakavyomtumia Zitto Kushinda Urais 2015

Status
Not open for further replies.
Tifa....? au taifa? Mzee unatukia PC ya shemeji nini ? Mimi sina muda wakupoteza kushughulika na wana siasa akili yangu nimeweka kwenye family yangu na kazi yangu'

kama kazi yako ndio hii ya kusahihisha basi heri uludi kijijini ukalime.
 
Mkuu ulichokisema kina kaukweli ndani yake, lakini ZZK hata akisimama kama mgombea binafsi hawezi kupata hata 5% kwa sababu watu wengi wataamini kuwa yaliyosemwa tangu 2010 ni ya kweli kuwa kajamaa kanatumiwa na TISS kuihujumu CDM...

Ila sitashangaa kama wataenda kumsaidia Hamad kule ADC,

Kwa taarifa yako, akisimama ZZK na Slaa atapigwa bao kama hapo chini.
Zitto Z. Kabwe---------- 148------- 15.46%

Wilbrod P. Slaa----------- 809------- 84.54%

Alisimamishwa na Lema, akampiga bao sas tunasubiri kumsimamisha na Mnyika.
 
Dawa ni CDM ikubali kuwa Zitto is a force to reckon yaani ni kijana anakubalika na vijana ni muislamu hivyo anakubalika kwa waislamu na ni msomi hivyo anakubalika kwa middle classs ambapo wakristo wengi wapo. Hivyo ana sifa zote. Binafsi kutokana na negative campaign anayofanyiwa Zitto simpendi lakini huo ndio ukweli. Tujifunze kumsamehe na tumgroom aje kukifaa chama chetu hatuna jinsi.
ni kweli zitto anafaa sana kuja kukisaidia chama lakini ana mapungufu yake ambayo leo sitaki kuyasema nitamwandikia wakati muafaka ukifika in private kwa sababu nampenda. kwa leo na in the name of recocords na mada iliyopo mbele yetu , naomba nithibitishe kwamba admimaral wenu amepata pia crue za ccm kupanga kumtumia kuipunguza makali cdm lakini sijapata bado tips kwamba yeye anajua au amekubaliana na hilo.nachoweza kuthibitisha ni kwamba watamtumia lakini si kama wengi wanavyodhani ila watamtumia as a last bullet
 
Hichi ni moja kati ya vile viwanda vya kuzalisha mambo flani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Na wewe unatumika kumchonganisha zitto na wananchi hasa wana cdm!
Huu mchezo ni wa kitoto na hakuna anaye danganyika!
 
Dawa ni CDM ikubali kuwa Zitto is a force to reckon yaani ni kijana anakubalika na vijana ni muislamu hivyo anakubalika kwa waislamu na ni msomi hivyo anakubalika kwa middle classs ambapo wakristo wengi wapo. Hivyo ana sifa zote. Binafsi kutokana na negative campaign anayofanyiwa Zitto simpendi lakini huo ndio ukweli. Tujifunze kumsamehe na tumgroom aje kukifaa chama chetu hatuna jinsi.

Zito ni asset kwa CHADEMA na Tanzania, lakini mpaka sasa bado hajaonesha kuwa ni presidential material, lakini atakuwa presidential material na atakuwa more useful kwake mwenyewe, kwa CHADEMA na kwa Tanzania, kama ataamua kupanda ngazi hatua kwa hatua.

Mtu akianza kuyumba kabla hajawa madarakani, hawezi kuwa imara akiwa madarakani, he is still young so he has lots of chances to be up there some day, lakini akianza papara kwa sasa, ataivuruga CHADEMA na kuivuruga mwenyewe.
 
ana uhuru wa kugombea binafsi au chamani.
Wapiga kura kwani hatuna akili??

Mnampa uzito mkubwa mno, let him play his game na sie wapiga kura tutacheza game yetu.

kumchagua Slaa ni kuibaka akili maana mzee kashafeli kuanzia familia mpaka chama sasa anasubiri kustafishwa kama mzee makamba ndani ya CCM.
 
Muanzisha mada sija soma mara nyingi mada zako hapa kwa hiyo siwezi kusema nakufahamu
lakini ni kwambia hizi tungo na melody za kutaka kutuaminisha u.p.u.pu. zimepitwa na wakati
Wananchi kwa sasa hivi wanajua umuhimu wa kupiga kura na kulinda kula ,tahadhari ni kuwa yeyote atakaye pindisha matakwa yao maana ya kile walichoamua wao kwa kupitia njia ya sanduki hakutakuwa na Zitto,othman chande wala lubuva,Tanzania iliyoko mbele yetu sio ile ya mwaka 47
 
mie wala sishangai coz asilimia kubwa ya wakigoma nilowahi kuishi nao karibu they are like that, yani they are power mongers an they think they know it all
 
ni kweli zitto anafaa sana kuja kukisaidia chama lakini ana mapungufu yake ambayo leo sitaki kuyasema nitamwandikia wakati muafaka ukifika in private kwa sababu nampenda. kwa leo na in the name of recocords na mada iliyopo mbele yetu , naomba nithibitishe kwamba admimaral wenu amepata pia crue za ccm kupanga kumtumia kuipunguza makali cdm lakini sijapata bado tips kwamba yeye anajua au amekubaliana na hilo.nachoweza kuthibitisha ni kwamba watamtumia lakini si kama wengi wanavyodhani ila watamtumia as a last bullet

Slaa ni mzushi na mpika majungu hafai kuwa rais na ndie anaemiliki kale kakiwanda kakutengeneza fitna na uongo.
 
Umejuaje mgombea wa CHADEMA atakuwa Slaa? au Zitto? Au yoyote? Acheni uchonganishi wenu nyie vibaraka wa magamba! CHADEMA haijapitisha mgombea wake bado, subirini acheni kiwewe!
 
Si mbaya kufikiria mbali, Ila Zitto akijaribu hivyo atakufa kifo cha mrema!

Acha unafiki wewe,tatizo jizho linakutoka kuona atapata,we unadhani nini kitamuua sasa?!!!!,hebu mwache Zitto huyo ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki nchi hii.
 
Wakuu

Nadhani wote tunajua kuwa CCM inapanga kutumia kila mbinu on earth ili kuendelea kutawala mwaka 2015 kihalali au kwa zuluma. Sasa hivi, Chama Hiki (ambacho kwa sasa ni marehemu) kiko kwenye mikakati mikubwa na madhubuti ya kuhakikisha kitaendelea kutawala hata kama hakitapata kura za kutosha mwaka 2015. Baadhi ya mikakati hiyo ni pamoja na:

Kumteua Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa makubaliano maalumu kuwa atapewa ulaji huo only if atakubali kuitangaza CCM kuwa mshindi wa Urais 2015 hata kama itapata asilimai 10 tu ya Kura (Lubuva Ameshakubali na atafanya hivyo)

Kuruhusu matokeo ya Urais kupelekwa mahakami ili kuja kumnyang'anya Slaa urais kupitia mahakani in case things fall apart and somehow someway CCM looses. So Lubuva Akishindwa kazi Othman Chande atafanya kazi ya kutangaza CCM kuwa mshindi no matter what.(Chande ameshakubali na atafanya hivyo)

Kupanga ugomvi wa CHADEMA na polisi ili watu wauliwe na hivyo kuwatisha watu kuwa CHADEMA ni wagomvi na ikiwezekana kuifuta CHADEMA kupitia kwa Tendwa. (Tendwa amekubali na yuko tayari kufanya hivyo ikibidi)

Na kama haya yote yakishindwa (Yaani Lubuva, Othman na Tendwa) then karata kubwa ya Mwisho ni Zitto Zuberi Kabwe.
Sijui kama yeye anajua hili ila CCM watakuja watamshawishi Zitto Kabwe agombee urais kama mgombea binafsi. Ushawishi huu utafanywa directly na CCM yenyewe na indirectly kwa CCM kuwapa hela rafiki zake Zitto wajerumani ili wajidai wanampsonsor ili agombee Urais kama Mgombea binafsi.

Lengo kuu la CCM katika hili ni kugawanya kura za CHADEMA ili kuishinda. Wanachotaka CCM ni hiki - Zitto akigombea basi Slaa anaweza kupata asilimia 37 za wapiga kura wote Tanzania na Zitto akapata kama asilimia 25 huku CCM ikiambulia kama asilimia 38. Mpaka hapo (Japokuwa CHADEMA itakuwa na asilimia 62) Mgombea wa CCM atakuwa ameshinda (ukichukulia watachakachua kura pia). Hii ni trick ya kudivide kura za CHADEMA na kuwafanya wagombea wote wa CDM wasipate kura za kutosha ilihali angegombea Slaa peke yake angepata asilimia 62. Kama hili litafanikiwa Zitto atakuwa ametumiwa kumnyang'anya Slaa kura huku akiipa CCM ushindi thru this divide and continue to rule trick. Tricky hii huwa inatumiwa sana Marekani na ndio kete ya mwisho ya CCM kuiangusha CDM thru Zitto Zuberi Kabwe.

CHADEMA PLEASE BEWARE OF THIS POWER MONGER YOUNG BOY ZZK! Anatamaa sana mpaka zinam-blind. Haoni chochote anaona sifa binafsi tu. I hope siku moja atakuja ataamka.

Tusubiri katiba mpya 2004 ndio tuzungumzie suala la mgombea binafsi,lkn mleta maada haya mambo yamefanyika wapi?au umesimuliwa na makanjanja?leta uthibitisho,ingawa kinadharia ZZK hasomeki kabisa.
 
Wewe mtu mbaya sana unataka kumchonganisha Zitto na hao shemeji zakoeeeeh,koma mwache kijana wa watu.

Kile kiwanda kinaendelea kuzalisha bidhaa zake,sasa nadhani mko vizuri sana kwa kuzalisha bidhaa zenu za uwongo,yaani unatuandikia habari ya kufikirika halafu unataka kutuaminisha? Subiri labda misukule waje wakuamini maana wengine huwa hawachuji habari mradi umewataja na umemtaja adui yao watakusapoti tu

Kiwanda cha kuzalisha fisi unaowatumia kwenye uchawi?Unajua tatizo lenu watu wa GAMBOSHI mna matatizo sana.peleka viwanda vyenu huko huko.

Zito hizo kula 28% atoe wap?

Kwani wengine wanapatia wapi?huko huko wanapopatia ndipo na yeye atazipatia.

Wewe mbona unaharara na zito unazingua kweli yaani mpaka sayo.

Ni kweli kamanda mi naona huyu amebanwa kuharisha,labda akaharishe kwanza ndio arudu JF kutoa maoni.

Kula....? Au kura? Shule za kata au ?

Wala siyo shule ya kata huyo ana kitu kinaitwa Bongolala,yawezekana amesoma ST MARY lakinin ndo hivyo tena,achana nae.

Pumba tupu!

Tafadhali naomba unilipe kwa muda wangu niliopoteza hapa ofisini kusoma hili bandiko lako la pumba!

JEMBE hivi unadhani huyo ana pesa gani ya kukulipa,kama mawazo yake ndiyo hayo?

Sasa nimeamini zitto kabwe sio tishio tu kwa CCM Bali kwa vyama vyote ikiwamo chadema yenyewe, nguvu kubwa inayotumika kumchafua na kumjadili inadhihirisha bila Shaka yeyote kuwa kijana Huyo ni mahiri, kwa kiasi naanza kuiona nguvu ya zitto Kama raila amolo odinga.

By. Phd safarini palestine, gaza on the western bank

Wanajua lakini wanajifanya hawajui,zitto ni lazima achukuwe nchi mwaka 2015,tunajua mikakati yao CDM ni kumdhoofisha lakini.......................!

Kwa siasa za Tanzania ni KULA kwani viongozi wengi tunawachagua hawana uchungu na nchi hii bali tunakuwa tumewapa ULAJI.

Siyo wote,kama ni hivyo hata wewe ndivyo ulivyo kwani nani asiyependa kula?

Dawa ni CDM ikubali kuwa Zitto is a force to reckon yaani ni kijana anakubalika na vijana ni muislamu hivyo anakubalika kwa waislamu na ni msomi hivyo anakubalika kwa middle classs ambapo wakristo wengi wapo. Hivyo ana sifa zote. Binafsi kutokana na negative campaign anayofanyiwa Zitto simpendi lakini huo ndio ukweli. Tujifunze kumsamehe na tumgroom aje kukifaa chama chetu hatuna jinsi.

Thubutuuuu!!!!!wakubali wafe wakati hawataki rais atokee kigoma,si ndiyo maana unaona wanajazana watu wa huko KAS.......

Zitto anawanyima watu usingizi....kazi mnayo

Na kweli hawalali haswaa!!!

Tifa....? au taifa? Mzee unatukia PC ya shemeji nini ? Mimi sina muda wakupoteza kushughulika na wana siasa akili yangu nimeweka kwenye family yangu na kazi yangu'

Mi nakwambia tatizo la huyo jamaa siyo shule za kata,ni BONGOLALA,MBONA NA WEWE HUELEWI????!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom