Jinsi biashara za kufuata mkumbo na upepo zinavyoathiri watu

mkachu

Senior Member
Dec 20, 2012
136
42
Moja ya mambo yanayo tu cost wabongo ni swala la kufuata uepepo nikiwemo na mimi mwenywe, tunaangalia upepo unavumaje kwa sasa, tunaendesha project kwa kufuata upepo ulivyo.

KINACHO TUSUKUMA SANA NI HIKI
- Nimesikia inalipa
-Nimeambiwa inalipa
- Nimeona
- Jirani anafanya na inalipa
-Mbona kwa fulani anafanya
- Tumeshauriwa
-Tumehamasishwa
-Tumeaahidiwa

Pls achana kabisa na hizo story za hapo juu, kwa lolote lile fanya utafiti wako binafisi, google, na tafuta taarifa kokote kule zinako patikana na ikibidi jiongeze mwenyewe.

Watu wamekuwa wahanga wa kufauta story za aina hiyo hapo juu, watu tunafuata upepo/mkumbo.

Zikowapi story za
- Kware? na sasa story za sungura ndo ziko juu ndo story za nimesikia na kuambia.

Unataka kufuga kuku, mbuzi, sungura, kware, kondoo, bata chochote kile, fanya utafiti wako mwenywe.

Kuna watu hadi wamejinyonga kwa story za hapo juu, watu wanasikia na kuona na kuambiwa na wanakimbilia kwenda kukopa na kuingiza pesa zote kwenye kuanzisha kitu ambacho mwisho wa siku kinakuja kumcost.

Tunakosa focus hivyo tunabakia kufuata upepo ulivyo.
 
True 100%. Kware wako wapi jamani! Vipi mitiki!!??? Lazima tuwe makini na hasa suala la masoko kabla ya kufanya jambo lina umuhimu mkubwa.
 
hivi hawa kware unajua hata yai sijawahi kulila ingawa mimi ni mfugaji wa kuku na nisichokipenda kutoka kwa hawa ndege ni ile habari yao ya kulia usiku kama vyura bondeni....namshukuru mungu sikupata shobo za kufuga hii kitu ingawa inawezekana kuwa watu wamepiga hela na wanaendelea kupiga hela na wengine ndio chali.....
 
Hilo ni kweli mkuu..watu wanaingia kwenye hivi vitu kwa mkumbo bila tafiti na kujiongeza kabla ya kupoteza mihela!kuna issue ya Samaki jamaa walikuwa wanadai inalipa kinoma lakini ni mwaka wa nne sasa sijaona mtu aliyefanikiwa zaidi ya "dah imekataa nilikuwa sijajipanga vizuri"
 
Samaki wanalipa sana. Achana na hayo maneno yako.
 
Ukiwa na Capital biashara yoyote ile ukianza utapata shida ila baadae utawin....
Mfano angalia Halotel kawekeza hela nyingi sana na wateja kapata wengi mno kuliko Smart, TTCL....
Mtaji una umuhimu sana maana waweza fanya biashara kama ya fulani ila mtaji wako ukakubeba kwani waweza punguza bei na bado ukapata faida kutokana na cash inflow kuwa kubwa kuliko mwenye mtaji mdogo kwenye biashara hiyo hiyo......
Kingine ni kuwa Watanzania tuna amini sana story za mtaani kuliko kuzama chimbo na kutafiti wenyewe na kupiga hesabu maana zipo biashara faida haionekani ila zinazunguka tuuu...

Kuhusu kware zile ni imani za kichawi tuuu, bora ufuge kuku kuliko hao kware kwa kuamini mayai yatakupa faida....

Ushauri... ukiona biashara inakimbiliwa sana tena ina faida kubwa usiifanye maana utalia, wapi kina Dr Mwaka hivi sasa wanalia maana mapato yao yamepungua sana
 
Hilo ni kweli mkuu..watu wanaingia kwenye hivi vitu kwa mkumbo bila tafiti na kujiongeza kabla ya kupoteza mihela!kuna issue ya Samaki jamaa walikuwa wanadai inalipa kinoma lakini ni mwaka wa nne sasa sijaona mtu aliyefanikiwa zaidi ya "dah imekataa nilikuwa sijajipanga vizuri"
Samaki gan unazungumzia ...wa mapambo au ?
 
Back
Top Bottom