Jinsi au namna ya kumtambua Binti mdogo aliekwisha anza Jigijigi .

Anakua na kiburi,anajiona nae mkubwa,huwa anapenda kujipamba hasa akitumwa hata dukan tu,mavazi ya kitoto hataki tena anataka vinguo vya kuexpoz maungo yake,anapenda kukaa na wakubwa na kuckiliza story za kikubwa kwa ujumla anahakikisha anakua ktk hali ambayo kila mtu ajue yy co mtoto tena ameshakua!

ww ulipitia huko?!
 
1. Haamkii wakubwa
2. Kwa kuwa alimtizama kwa nyuma aliona makalio yameongezeka ukubwa
Haya sema sasa!
 
Back
Top Bottom