Jini la kufanya watoto wetu mandondocha wasielewe kazini-atra kul akili

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Hili ni jini linalocheza naakili za watoto zetu..yawezekana abako na mama walitumiwa hili ndio maana
kila kukicha kwenu chuo kikuu ni hadithi ...sasa basi ifike wakati sema imetosha kama unasoma
kemea anza k ulitaja unalifyeka kwa damu ya yesu hilihuwa linacheza na maarifa naufahamu wa watu
wazazi wengi watoto wao wakifeli ati mbumbu kama babko ndio maana alikimbia shule weee weee mama tafuta
src fanya mapping usikimbilie kuhukumu anza kujitoa

atra tulikabli
hili nijini linalosumbua mioyo ya watu;;usiogope ukiwa unayajua na kuyafyeka awawezi kukugusa ,,""aliatubaisa tu masjid asharu bi shari

kila la kheri anza kujikomboa na uzao wako
 
Back
Top Bottom