Jini kabatini

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,818
Mzee karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
BABA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee kaingia ndani kamkuta
mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati
kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati BABA: Aise unajua we **** sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha
mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na
mwanao.
 
Hapo limbwata at work..... Lazma !!!
 
Thats the meaning of real men....mwanamke akitoka hapo lazima akajihukumu anavyojua yeye hata kwa kujinyonga
 
Mzee karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
BABA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee kaingia ndani kamkuta
mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati
kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati BABA: Aise unajua we **** sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha
mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na
mwanao.

weeeeeeee!weeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom