Asante kwa uhimizo, kwa hili sitoacha kwani sikuanza leo. Nawe endelea kutukomboa toka kwenye mawazo yetu ya kikoloni!
Mkuu
wapi nimesema una mawazo ya kikoloni?
Isome post vizuri. Nimesema waingereza na wafaransa bado ile colonisation mentality yao haijawaondoka. Bado wanajiona ni watwala. they dont deal with us,Africans as sovereign states in equal terms.
Natumai maelezo haya yatarudisha tabasamu usoni mwako.