Jinajike ovyo

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Hivi jinajike zima uanajiachorachora halafu unaenda kujianika barabarani ili iweje?

Mi naona ka uchafu flani hivyo kwanza umri wako ushafika magharibi sasa vibiti vyetu vikikuiga tunasema vitoto havina maadili kumbe wamam nao mmeyapoteza

545135_444188608946239_1125849411_n.jpg
 
Aiseeee babaangu nisikia kutapika

ngoja nitoke humu kabla sijatapika mbege yangu
 
Wajinga ndio waliwao ukiona manyoa jua kaliwa, huyo mama anahitaji kufanyiwa cansering halaka lasivyo atatembea uchi kabisa au akapimwe akili, sura yenyewe ya jumapili hiyo,
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom