Jina unalomwita mpenzi wako leo ni tofauti na mlivyoanza mahusiano?

Mimi sijali sana limetumiwa neno gani na kwa lugha gani bali naangalia jinsi lilivyotumika. Nachanganya ujumbe wa maneno na ule usiokuwa wa maneno ambao mara nyingi ndio unakuwa ukweli wenyewe yaani verbal and non verbal communication. Baada ya kuchanganya na zakwangu ndio nalainika au naona ndio yaleyale!
Huo mchakato wote unachukua chini ya sekunde moja

kitu cha body language co???
 
wanawake wengi tumekuwa tukihaha ni jina gani nzuri tukiwaita wapenzi,hawara, au mume wakati wa kula tundi au tunataka mshiko au kupeleke sehemu ya maraha au kwenye kuombana misamaha majina hayo ni mume wangu,baba nanihh, sweet,honey.my luv,baby, dear,dady,na mengineyo.wakati huo tulio wengi tunatamka maneno ya kidhungu hata hatujui maana yake mnavyotesa dah!TUWAITAJE?

Boss mdio linafaa zaidi
 
muhanga mie au? mie huwa napenda kuita jina lake tu, halafu mikono ulimi miguu na mwili unaendelea na kazi zake hadi mwili mzima unaitika.... hapo analegea kila kiungo hadi akili inalegea hapao unaweza kuambulia kidogo.. lakini wanawake tusisahau kuwa wanaume wanapotupa kitu, pesa, mapenzi mazito, msamaha... walio wengi si kwa kuwa eti tumewazingua kitandani ila ni kwa kuwa wanatupenda tu:smiling:

Siyo wewe mkuu, ila pale huwa nakuwa mateka, muhanga kabisa.
 
Aisee, sasa huyu naye sijui ameanzisha mada gani hapa. Kama huna cha kuandika, tulia kimya. Soma michango ya wenzako.

ni nzuri na inavutia kwa wenye kujua maana yake kama unaona hauna chakuchangia wewe ungeipotezea mkubwa,ya nini kujidhalilisha hapa na mandishi yasomaana?acha hila ya kikwapa
 
wanawake wengi tumekuwa tukihaha ni jina gani nzuri tukiwaita wapenzi,hawara, au mume wakati wa kula tundi au tunataka mshiko au kupeleke sehemu ya maraha au kwenye kuombana misamaha majina hayo ni mume wangu,baba nanihh, sweet,honey.my luv,baby, dear,dady,na mengineyo.wakati huo tulio wengi tunatamka maneno ya kidhungu hata hatujui maana yake mnavyotesa dah!TUWAITAJE?

sweet-ushka...au babyshka...
 
hatutaki kuitwa jina lolote tunapenda kusikia mnavyogugumia kwa maneno yasiyokuwa na vowels wakati ukuni unapokuwa unawasulubu
 
Back
Top Bottom