Jina unalomwita mpenzi wako leo ni tofauti na mlivyoanza mahusiano?

Mimi sijali sana limetumiwa neno gani na kwa lugha gani bali naangalia jinsi lilivyotumika. Nachanganya ujumbe wa maneno na ule usiokuwa wa maneno ambao mara nyingi ndio unakuwa ukweli wenyewe yaani verbal and non verbal communication. Baada ya kuchanganya na zakwangu ndio nalainika au naona ndio yaleyale!
Huo mchakato wote unachukua chini ya sekunde moja
 
Jina langu halisi mi ndo nalipenda niitwe sio majina ya kidhungu haya sweet sijui darling huo wote wizi mtupu!!!!!!!!!!!!!
 
wanawake wengi
tumekuwa tukihaha ni jina gani nzuri tukiwaita wapenzi,hawara, au mume
wakati wa kula tundi au tunataka mshiko au kupeleke sehemu ya maraha au
kwenye kuombana misamaha majina hayo ni mume wangu,baba nanihh,
sweet,honey.my luv,baby, dear,dady,na mengineyo.wakati huo tulio wengi
tunatamka maneno ya kidhungu hata hatujui maana yake mnavyotesa
dah!TUWAITAJE?

ummu kulthum,mi niibie kwa kwa kuniita,"we mzee, panda kitandani"!.
 
Last edited by a moderator:
Yaani ukiniita Darling tena ukiwa umekaa kitandani ndo unataka kunitoa pochi yaani hakuna ubishi!! Huku ukiwa umenishika mikono unaipapasa na miwngine mgongoni!! Nakupa ATM card na password. Angalizo kwa mke tu!!!
Zogwale vipi umeoa au bado upoupo?
 
Last edited by a moderator:
Muhanga wangu
muhanga mie au? mie huwa napenda kuita jina lake tu, halafu mikono ulimi miguu na mwili unaendelea na kazi zake hadi mwili mzima unaitika.... hapo analegea kila kiungo hadi akili inalegea hapao unaweza kuambulia kidogo.. lakini wanawake tusisahau kuwa wanaume wanapotupa kitu, pesa, mapenzi mazito, msamaha... walio wengi si kwa kuwa eti tumewazingua kitandani ila ni kwa kuwa wanatupenda tu:smiling:
 
Mimi sijali sana limetumiwa neno gani na kwa lugha gani bali naangalia jinsi lilivyotumika. Nachanganya ujumbe wa maneno na ule usiokuwa wa maneno ambao mara nyingi ndio unakuwa ukweli wenyewe yaani verbal and non verbal communication. Baada ya kuchanganya na zakwangu ndio nalainika au naona ndio yaleyale!
Huo mchakato wote unachukua chini ya sekunde moja

Harika mjinawa, kweri we ni nyikanavome!
 
kwa sababu kama umeshaoa inaonyesha hauna makuu ktk handling yako,i guess wife wako ana raha saaaaaaana,yaani darling tu unatoa vyote hivyo.Nafikiri unapaswa kuwa role model wa wanaume wengine,coz wengine ni wagumu kweli kuwahandle.
 
Aisee, sasa huyu naye sijui ameanzisha mada gani hapa. Kama huna cha kuandika, tulia kimya. Soma michango ya wenzako.
 
Back
Top Bottom