Jina lipi linafaa kuwatambulisha au kuwaita?

Usijali bro... Your shem anaelewa ni jina gani atumie ni liquidate viungo voote na kufanya roho idunde with anticipation.....lol

Ha,ha,ha,haaaa!Dada bana!Umemaliza kila kitu!Ngoja nikupe siri,nikukumbuka huwa namkumbuka sana Tigga Mumba,unamjua?
 
nimezungumza kama a joke kuhusu 'mzigo'
najua hakuna mtu anaependa kuitwa mzigo
but ukweli wa mambo
sisi wote ni 'mzigo wa aina fulani' kwa wapendwa wetu...
ni 'jukumu' fulani kwao...get it?

Sina swali hapa,mtu akichukulia neno mzigo ki mzigo mzigo lazima atatamani apasuke!
 
Mzigo na ATM ni vitu viwili tofauti
actually hata wewe unaweza sema mumeo ni mzigo wako
why?kwa sababu lolote litakalompata utaulizwa wewe
akiugua ni wewe.akifa ndani polisi wakija wanakubeba wewe and so and so...
maana ya nzigi ni jukumu lako
bothways...

hahahaha.... So typical of The Boss kuweza justify mpaka nimeingia line....lol... Haya bana!
 
mama yangu ni mzigo wa baba yangu....
mzigo ni matusi?
it simply means 'majukumu yako'....ndo maana hata 'uongozi huitwa mzigo'
au ukubwa pia huitwa mzigo....
Inaweza ikawa ni kweli unavyosema (mzigo =majukumu) ila kumuita mtu unaempenda mzigo haifai kabisa. Ndio maana hata wazazi wanaowaitaka watoto wao mizigo ni wale ambao kwa namna moja ama nyingine hawana fahari na watoto wao,na hua inawaathiri watoto vibaya. Kwahiyo mtu unaempenda na kumjali hawezi kuwa mzigo achilia mbali kuitwa mzigo, anaweza akawa jukumu lako na sio mzigo wako.Mzigo wako ni yule mtu ambae unajikuta UNALAZIMIKA kumhangaikia, yani ungekua na choice usingefanya hivyo.
 
kuna post nimejibu kuwa nimesema mzigo kama a joke
but kuna ukweli fulani kuwa mpenzi wako ni jukumu lako
na jukumu lako ni mzigo wako...so nakubaliana na wewe huwezi muita mpenzi wako
mzigo wangu but watu wa pembeni wanaweza kutumia jina hilo...
mara ngapi mtu anaambiwa 'huyu mkeo ni mzigo wako'
au uje uchukue mzigo wako...na anaezungumziwa ni mtu?
hata mume ina apply..pia...
 
Chukua tano!Nimeikubali hii!
 
Sioni kama ni sahihi hata watu wa pembeni kulitumia unless unaonekana kama umelazimika kubeba hilo jukumu.Mi nikisikia mtu anamrefer mtu wangu nnaempenda (mtoto, mpenzi, ndugu) kama mzigo ataniambia kama yeye anajua hao watu wanachokuala na ikiwa kinatoka kwenye mfuko wake.Yani sio sahihi, unless hayo majukumu umebebeshwa kwa lazima.
 
lugha zina matumizi mbalimbali
na kwa wengine unaweza shangaa
mfano unaweza kusikia wanawake wanasema
'amemsitiri' wakimaanisha mwenzao kuolewa..
sasa hapo je lizzy?wewe utasemaje?
watu waseme mumeo 'amekusitiri'..kwa kukuoa..
 
Well kama sikua na kitu and all of the sudden napendeza, natembelea gari full kiyoyozi wanaruhusiwa kuniona hivyo, kwasababu nikiachika naweza rudi kule kule nilipotoka.Ila kama nimeingia kwenye hiyo ndoa nikiwa na vitu vyangu basi watakua wanatumia lugha vibaya.
 
haihusiani na vitu
msemo unatokana na kuwa hakuna mtu aliejitokeza kutaka kuku oa
na time ilikuwa inakwenda...so nadhani hapo neno kusitiri ndo linapotumika..
 
Msamehe bure, kaambukizwa upako na shemale
ameanza fikiri in reverse order
Kuna member ange comment hilo na ningekua pouwa... That is so unlikely of the Boss for untill sasa as much as you are so interested in ladies daima hua wawaheshimu na kutoa comments ambazo haziwavunjii heshima... Today umeniangusha saana. Why? (as in why now?)
 
Yaani mnanitamanisha hii diskasheni
afu mnyapara kanibana sehemu zangu zote
duh, kweli akina dada tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele

na nikirudi na majina yenu, msinishoot, nyie akina bushoke.
 
jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol

Hivi kweli unaweza kumuita mwanamke unayempenda Mzigo? eti kwa sababu unamgharamia mambo mengi, muda na pesa??? Sasa kwa nini ujibebeshe mzigo? je yeye hakugharamii wewe muda wake na mambo mengine? Mtambulishe kwa jina lake kama unaona shida kusema huyu ni mchumba wangu, au ni mpenzi wangu, au ni mke wangu.
 
umeona post zilizofuata nimetoa maelezo zaidi
au umekimbilia kujibu bila kusoma thread yote?
 
Hivi wanamme wako kama walevi
Siku zote huteteana hata wawe wamechemka vipi
They are true friends to each other

Mfano: mwanamme mmoja alilala nje ya familia yake
Mkewe akapata wasiwasi
akawatumia sms marafiki zake watatu kuuliza mmewe yuko wapi
Jibu alilopata kutoka kwa wote watatu ni
"Alilewa sana na nikaamua kumleta kwangu, bado kalala"
wakati wote watatu wanaishi sehemu tofauti

Hapa kuna point flan hivi!
 
Maana ya mzigo ni kukamuliwa tu
Haina maana nyingine
Kama mpo kimakamuzi tu ruksa kuitana mizigo
lakini wa moyoni huwezi muita mzigo hata kum-adress mbele za watu as mzigo

Kama unataka onesha kulindana, jaliana, saidiana, majukumu kuna majina meeengi yenye heshima na yanamaanisha the same

Hii ni kujustify the unjustifiable

Hahahaha!!! Boss wewe ni problematic aisee...:lol:
 
Duh, mzigo wako huo ubebe hadi kifo kiwatenganishe. Kumbe na ninyi wanaume ni mizigo bwana.

Tena ninyi ndio mzigo mzito kama gunia la kokoto.
 
Back
Top Bottom