Jina lipi linafaa kuwatambulisha au kuwaita?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nimesoma siredi ya Gazeti ikiwauliza kuwa wanawake wanajisikiaje wanapoitwa DEMU.Wengi wameng'aka wakilichukia jina hilo.Kuna majina mengi sana hutumika kuwaelezea au kuwatambulisha,hebu semeni lipi kati ya haya kinawavutia kama halipo hebu tuambie ulipendalo.Huwa mnaitwa;dem,manzi,mzigo,chapisho,chuda,baloo,mashine,swetie,asali wa moyo,haney,my kapeti,my siling bodi,kago,mrembo.....Mengine mtaongezea....Hebu wadada semeni fasta tuwaiteje?
 
jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
 
na nyie mnaitwa buzi, mlugaluga, zoba, mshika pembe,wa ukweli, da only one, back stop, mpenzi,honey mnataka lipi hasa?????
 
jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
kama vile huna mama wala dada
 
me nadhani hakuna raha kama mtu akikuita jina lako ulilopewa na wazazi wako, hayo mengine mengi ni ya unafiki.
 
Wee Boss weweee....
Jina perfect ni jina langu
haya maneno ya sweetie,honey,baby,sijui sugari guru... ni usanii mtupu

jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
 
jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol

Kuna member ange comment hilo na ningekua pouwa... That is so unlikely of the Boss for untill sasa as much as you are so interested in ladies daima hua wawaheshimu na kutoa comments ambazo haziwavunjii heshima... Today umeniangusha saana. Why? (as in why now?)
 
Wanaume wooote hutoa names kwa wapenzi wao, kuna yale majina ambayo wao wanaume huongea kwenye vijiwe na kwa marafiki zao ili tu wasionekane wako attached saana emotionally to the lady (i.e dame) BUT huyo huyo mwanaume huwezi mkuta akadhubutu kuita mbele ya mpenzi wake.... Majina ya kukuita sometimes depends hata the way mpenzio analitamka.... Mfano pumpkin or apple or Sweet pie.... Kama mtamushi kalikosea... Waweza lia kwa hasira na kumuomba akwite kwa jina lako....lol
 
So dada,kuna jina unapenda shemeji akuite?Kama lipo hebu tuambie ni lipi hilo?
 
jina perfect ni 'mzigo'...
ndo maana ukioa unaambiwa 'huo ni mzigo wako'

ukifikiria ni kweli maana hakuna mwanamke wa bure
wana cost pesa na muda na mengi mengineyo...
so siku zote ukiona watu wanakwambia 'mzigo wako ulikuja'
ujue hawatanii.....ni 'mzigo kweli' lol
kumbe naenda kuwa mzigo wa mtu daah maskini kijana wa watu? nifanyeje sasa?
 
So dada,kuna jina unapenda shemeji akuite?Kama lipo hebu tuambie ni lipi hilo?

Usijali bro... Your shem anaelewa ni jina gani atumie ni liquidate viungo voote na kufanya roho idunde with anticipation.....lol
 
Nadhani hapa heshima ndio muhimu hayo majina yote utaitwa ni bure mie hata akiniita jina langu bila nakshi nakshi hainisumbui.
 
mueleweshe na ASHADII...

Katika wanawake wa humu JF ukiniambia nikuletee mwenye uelewa mkubwa ajabu nitakuletea AshaDii,najua atakua amekuelewa,hiyo post niliyoiquote nadhani alikua hajaiona!
 
Boss unafikiri sijaelewa? I can dare call my Man kwa wenzangu kua yule jamaa ni ATM yangu! But do you think I can dare say that mbele yake? (hata kama kweli namtegemea kwa kila kitu?)

Mzigo na ATM ni vitu viwili tofauti
actually hata wewe unaweza sema mumeo ni mzigo wako
why?kwa sababu lolote litakalompata utaulizwa wewe
akiugua ni wewe.akifa ndani polisi wakija wanakubeba wewe and so and so...
maana ya nzigi ni jukumu lako
bothways...
 
nimezungumza kama a joke kuhusu 'mzigo'
najua hakuna mtu anaependa kuitwa mzigo
but ukweli wa mambo
sisi wote ni 'mzigo wa aina fulani' kwa wapendwa wetu...
ni 'jukumu' fulani kwao...get it?
 
Back
Top Bottom