Jina lake halisi ni hili!

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Tangu mchungaji wa KKKT huko Samunge - Loliondo kuanza kutibu maradhi sugu jina lake limekuwa likitajwa au kuandikwa kwa kukosewa na hivyo kumwita majina yasiyo yake. Jina lake ni AMBILIKILE MWAISAPILE na siyo vinginevyo.
 
haijalishi jina lake ni nani, kwan limeleta athari gani kwenye biashara yake na matibabu yake? aitwe babu, loli boy, mwasapuli, babu ambi sijaskia athar zozote kama ww umesikia tuambie
 
Kweli wakati mwingine wengine wanasema eti Ambilikile Masapile, ila haina athari sana kwa shughuli yake.
 
Back
Top Bottom