Jina la Timu lina mchango gani ktk timu kufanya vizuri?

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Baada ya kipigo cha Simba toka kwa TP Mazembe nimeanza kuhisi huenda na majina ya timu yana mchango katika ushindi hata kabla ya mechi, mfano jina kama TOUT POUISANT MAZEMBE ENGLEBERT linatisha hata kulisikia tu, mifano mingine ni katika kundi hilo ni ENYIMBA, HARAS EL HODOOD, MUFULIRA WONDEROUS, T P LINDANDA, SOFAPAKA; lakini majina mengine ni mepesi mno, mfano kulikua na timu inaitwa NAZARETH ikapanda na kushuka, AZAM pia naona ni jina jepesi. Tafakari
 
Kwanza hakuna timu inayoitwa TP LINDANDA, na pia sidhani kama unafahamu maana ya Haras El Hodood na pia nadhani SIMBA ndo jina linalotisha zaidi kiasi cha kufanya timu yoyote inapojiandaa kucheza na SIMBA hufanya maandalizi ya kufa mtu, mfano kuweka kambi ya gharama kubwa Bagamoyo na Mafia na pia kuloga kwa milioni 30 wakati wachezaji hawajalipwa pesa ya usajili na malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano.
 
Ni kweli, jina la SIMBA linatisha pia (labda ndo maana huwa inafanya vizuri international games) hata AFC LEOPARD
 
Back
Top Bottom