kwa mwaka 'abagurusi' (wazee wa kihaya) huwa wanakaa,wanatafakari na mwisho wanatoa jina la mwaka.2012 wameuita 'wechonche' meaning literally 'changamka'.ni kama tulivyokuwa jkt enzi zile kila in take ilikuwa na jina la operesheni yake mfano operesheni kagera,operesheni ushindi,operesheni tija n.k.
wahaya wana utaratibu wa kubatiza miaka.
Mwaka 2011 uliitwa tongana (jutia, ungama, pigania/ikomboe nafsi) labda hili jina lina uhusiano na makosa ya wapigakura na kisha matokeo ya utawala mbovu!
Mwaka 2012 wameubatiza wechonche (jishughlishe, jibidiishe). Labda ujumbe ni kwamba kama mmejutia (tongana) acheni sasa kulalamika sana, jibidiisheni/jishughlisheni zaidi
Wahaya wana utaratibu wa kubatiza miaka.
Mwaka 2011 uliitwa TONGANA (Jutia, Ungama, pigania/ikomboe nafsi) labda hili jina lina uhusiano na makosa ya wapigakura na kisha matokeo ya utawala mbovu!
Mwaka 2012 wameubatiza WECHONCHE (Jishughlishe, Jibidiishe). Labda ujumbe ni kwamba kama mmejutia (Tongana) acheni sasa kulalamika sana, Jibidiisheni/jishughlisheni zaidi
Pia siyo wakati wa kukaa kimiya sasa.Ni mwaka wa kila mtu kudai haki yake, kuboresha maisha yake kwa kufanyakazi kwa bidiii.KWA UFUPI NI MWAKA WA KUJILIPUA HILI UPATE FAIDA