Jina la kampuni limesajiliwa na brela na watu 2 tofauti

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
wapendwa nimesajiliwa kama business name na brela na ktk pitapita zangu nikakuta jina hilo hilo kuna mtu mwingine ana usajili kwa jina hilo hilo. tofauti ni kuwa moja ni business name na ingine ni company ltd.

wadau naombeni ushauri sheria inaruhusu hili jina moja kumilikiwa na watu wawili tofauti?
 
mkuu sijakuelewa kusema moja ni bness name nyingine ni co.ltd! Brela inasajili makampuni,yako iko kwenye entity status gani? Kama mna entity status tofauti ni sawa tu ila ww utabidi ubadili jina ukitaka kubadilisha to limited Coy.
 
Mi hapo ndio mmeniacha kabisa, nilifikiri kuwa business name inakuwa kama umeweka booking hilo jina lisitumiwe ht ukija kubadilisha kuwa co. basi nikupeleka hivyo vi-memo na Article.

Jamani wanasheria mtusaidie hapo!
 
Kama kuna tofauti ya status hii nadhani inaruhusiwa,na kama wewe ulisajili business name yoyote na yeye akatangulia kusajili Co LTD then yeye ana haki na hilo jina la CO LTD na in case ukitaka kubadilisha to Co LTD then utatakiwa kubadili jina! Nadhani wajuvi zaidi watatusaidia kwenye hilo
 
Brela bado sijaenda....... Tatizo hapa kampuni yangu na hiyo nyingine tupo kwenye industry moja ya printing. sasa wasiwasi wangu ni wakati wa wa malipo. kama nimelipwa bt kwa makusudi au bahati mbaya ikaingizwa kwa account ya huyo mwingine hapo naona ndio tatizo sijaanza kuitumia. kwa mtazamo mwingine mi naweza kulipwa nitamtafuta huyo mmniliki wa mwenzangu nikamwambia aingize kwake then mi nikidai kuwa pesa haijaingia kwenye account yangu mnadhani sheria itanilinda?!!!!
 
Back
Top Bottom