Jina la jelly ya kulainisha uke wa mke wangu

Kwani nini kimepelekea mpaka unataka hiyo jelly? huenda humuandai vizuri hivyo glands husika hazitengenezi secretions au mkeo labda ana tatizo la vaginism, labda ufafanue zaidi tatizo hasa ni nini? Pengine wife anahitaji psychological counselling huwez jua labda anakuwaga kimwili tu wakati wa intercourse
 
Ingia pharmacy uulizie KY, hii kitu safi sana. Kuna rafiki yangu aliweza kupewa mimba na muathirika bila kumuambukiza virusi, ni kwa sababu walikuwa wanatumia KY

Acha kujidanganya wewe na kudanganya wenzako....soma literature zote duniani, hakuna njia hiyo ya kutumia KY jelly kujikinga na UKIMWI! VVU wako kwa wingi tu kwenye sh*hawa ambazo zinabaki humo ndani ya uke baada ya kumwagwa kwa muda wakutosha kuweza kupenya na kumuambukiza mwanamke...KY jelly inafacilitate tu kuingia kwa uume, sa inakuzuia vipi na maambukizi?!
 
mmmh! hakuna cha jelly wala nini,atakuwa ana mawazo mengi,tengeneza mazingira mazuri,tumia sauti yako vizuri kumtuliza akili,tupia na mautundu mengine mambo yatajipa.
 
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.


Uke wa mbele au nyuma?
 
Ingia pharmacy uulizie KY, hii kitu safi sana. Kuna rafiki yangu aliweza kupewa mimba na muathirika bila kumuambukiza virusi, ni kwa sababu walikuwa wanatumia KY
Hivi kuna ky ya kimiminika wandugu? Maana mie huwa naziona zile za tube tu, ambazo ni za kupaka
 
hivi ukiwa unatumia kondom uke ukawa mkavu baada ya round kuwa ndefu huwa mnafanyaje au mnatumia nini?
 
Kwa nini unaingia gharama za kununua "cancer" na kumwekea mkeo ? Dawa kubwa kuliko yote ni wewe kumwabia aweke mawazo katika shughuli hiyo wakati mkifanya fore play. Mwanamke yeyote akiandaliwa vizuri hahitaji vilanisho, Mungu alimwekea vilainisho vya asili pale anakuwa anafanya tendo la ndoa halali na kwa mtu halali ambaye ameridhika naye. Ukiona unafanya maandalizi lakini bado mkavu, fahamu kuwa kuna tatizo, aidha, hakuamini hivyo haridhiki na wewe. Tatua kwanza tatizo linalosababisha ukavu huo kabla ya kununua vilainisho asilia.
 
Jamani, mbona mie nina mbongo na yuko fit kabisa?
Jaribu msomali, utawakumbuka wabongo, dental fomula yao huwa inakwaruza kama ka tuthpik hivi
Kanatibua shughuli nzima

wanaume wa kibongo,hopeless ikija maswala ya romance...ngoja nitafute mkenya au mganda...lol
 
Mi napenda kavu tubadilishane demu wangu yake ni kam bwawa
yaani hamna gharama za ky wale jelly...................
ila hii wanatumia sana kupaka jichoni sasa sijui inakuaje
 
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.
ndg .mpake pili pili...:israel:
 
Inaitwa KY jelly. Bei sina uhakika lakini inategemea na size ya hiyo tube. Kuna ndogo na kubwa. Ile ndogo nadhani haifiki/haizidi Tsh elfu kumi (10,000/=)

hiyo ni yakukameroon du sory nimepita tu
 
Back
Top Bottom