Jina gani la kijiji au mji hapa Tanzania lililo refu kuzidi hili la Uingereza?

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Jamani kuuliza si ujinga. Huko Uingereza kuna kijiji kinaitwa Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch, ni jina refu kuliko jina la kijiji au mji wowote nchini humo. Kijiji hiki kiko katika kisiwa cha Anglesey kule Wales.

Jina hili lina maana ya: St Mary's Church (Llanfair) in the hollow (pwll) of the white hazel (gwyngyll) near (goger) the rapid whirlpool (y chwyrndrobwll) and the church of St Tysilio (llantysilio) by the red cave ([a]g ogo goch).

Tukirekjea hapa kwetu Bongo, je ni jina lipi la mji au kijiji lililo refu kuliko majina mengine yote? Je yaweza kuwa Ikungulyabashashi (sijui kama lina maana yoyote), ambacho ni kijiji kilichopo wilayani Bariadi?
 
Wewe Ikungulyabashashi umeijulia wapi? Wengine ndo kwetu huko.....
 
mmmmmmmmhhhh!!!!! mi naona hilo c jina bali ni tungo iliyokamilika kwani kuna kiima na kiarifu.
 
Dah!! hata kulitamka ni kazi aisee.....!!!
Huku kwa kweli sijui....
 
Jina lefu kama reli, na huko Sangamwalugesha, Ikungulyabashashi mbona ni kama mitaa ya Mwanza na Shy
 
Kimbisimbisiowanyumulimamutatulimatutitushubatweko'ndeka

Hiyo ni Kijiji kipo mitaa ya Kyelimilile - Misenye - Ziwa Magharibi
 
Aisee hiyo mbona mtoto ukitaka jina refu zaidi Duniani la kijiji lipo New Zealand, kijiji kinaitwa "Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu" lina character 85 na short form yake ni 58, check hapo kwwnye hii wesite "http://en.wikipedia.org/wiki/Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu"
 
Back
Top Bottom