Jimmy Wales: A man of Honour and Great Intergrity

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
jimmy-wales_founder_of_wikipedia_vip_5.jpg











On January 15, 2011, Wikipedia turned 10.

Wikipeda, the online ENCYCLOPAEDIA, imefikishamiaka 10 leo. Hongera sana Mr. Wales.
Kuna watu duniani ambao pesa haziwaambii kitu. Nadhani huyu jama ni moja wao, kwani angeweza kuingiza mabillioni ya $$$$ kama ilivyo google na Twitter, lakini huyu jamaa haambiliki. Ni vigumu kumuelewa.
 
Ni kweli kabisa. Kikubwa tuichangie Wikipedia japo $ 5.00 kila mwezi. Mimi nafanya hivyo, wewe je?
RA
 
Ahungu itabidi nifuate mfano wako kwani Wikipedia inatusaidia sana katika maisha yetu ya kawaida. Hakika huyu jamaa sio mchoyo wa ELIMU.
 
Back
Top Bottom