Jimmy Kimmel: The Real Housewives of Osama bin Laden

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,539
5,903
At some point, even the newly widowed wives of bin Laden must face the practical concerns of life without their coveted and shared provider. Take four competitive women, a horde of children,and put them all in one big home. Sadly, you now have the makings of first class American entertainment. You'll note that some words used in reality shows are universal, absolutely no translation is needed.
Source:Jimmy Kimmel Live Show on ABC

YouTube - The Real Housewives of Osama bin Laden
 
this is a must see.will check it on pc later,japo wanawake wenzetu wamejaaliwa akili zao za kipekee.brainwashing is bad man!
 
baada ya kuja na The Real H/Wives of Osama nahisi watakuja na the Real Housewives of Loliondo!
 
Hakuna sababu ya watu wazima kama nyie wenye akili timamu kushabikia ujinga mtupu kama huu. Hii ndiyo inaitwa "American idiocy". Kila upuuzi fulani utakaotokea, lazima wajanja fulani watajaribu ku-cash in. Kuna jamaa fulani alianzisha Website ya kuuza T-shirts za "Obama got Osama" and that kind of B.S. within masaa mawili-matatu tu baada ya kupata taarifa kuwa OBL kafa; na amini usiamini, jamaa aliweza kufanya Biashara ya $120,000 in 7 days kwa kuuza T-shirts at $12 a piece.
 
Hey, dawg hujalazimishwa kuifuatilia hii topic. Sio kila saa tuangalie politics tuuu, this is humor! Kama wewe kwako ni ujinga kwangu mimi ni humor.
After all Osama kwa uzinzi nae alikuwa hajambo
 
Hakuna sababu ya watu wazima kama nyie wenye akili timamu kushabikia ujinga mtupu kama huu. Hii ndiyo inaitwa "American idiocy". Kila upuuzi fulani utakaotokea, lazima wajanja fulani watajaribu ku-cash in. Kuna jamaa fulani alianzisha Website ya kuuza T-shirts za "Obama got Osama" and that kind of B.S. within masaa mawili-matatu tu baada ya kupata taarifa kuwa OBL kafa; na amini usiamini, jamaa aliweza kufanya Biashara ya $120,000 in 7 days kwa kuuza T-shirts at $12 a piece.

Hili jamvi ni la kila mtu na kuna hoja za aina nyingi, na kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni yake
 
Back
Top Bottom