Jimboni kwa Maige: wananchi waandamana

Hakuna mawasiliano kati ya kakora na kahama wananch wamevunja daraja, mabasi ya Mombasa raha yavunjwa vioo, nyumba ya Mh. Maige yavamiwa yavunjwa vioo na kukatwa umeme wa jenereta aliouweka. Polisi wapewa kichapo waagiza nguvu toka Shinyanga mjin. Majeruh bado ni wengi
 
kwel kabisa CDM ni wajanja hawatak mambo ya kisanii ya ccmagamba,VIVA CHADEMA HAKUNA KULALA MAANDAMANO MBELEEE

kwa kutumia hekima na utashi, nadhani wanaompiga mawe ni wale waliomchagua kwani ndio walioamini ahadi hewa
 
Ama kweli ndani ya CCM sijui vyeo wanapeana vipi . Nimewahi kusafiri na huyu jamaa alkiwa Mbunge tu kwenye local flight anaenda kwao huko hakika katik maongezi nilimuona mtupu sana . Hana point zaidi ya kuonyesha maguvu na uwingi wao.Leo eti ni waziri kamili mie nimechoka kabisa .
 
dogo maige anaburuzwa hadi na mamiss wa india kuwatafutia millioni mia kadhaa ati waje kutangaza nchi

ni limbukeni sana yule jamaa............ sijui tunawatoa wapi hawa majamaa
 
Moto aliowasha Mheshimiwa Zito Kwabwe na Kamanda wake mkuu Mbowe umepenyeza hadi vijijini na moshi huo ndio unaanza kufuka, na huo ni mwanzo tu maana wabunge wa ccm walivyotetea posho walifikiri ni ushindi kwa wingi wao sasa wananchi wamepokea utekelezaji wa mbio ya kudai hai yao toka kwa Kamanda Mkuu Mbowe.
 
Jazba nyingine za kipuuzi. Miezi sita tu imepita wanaanza kulalamika. Walitaka kila mtu apewe jenereta? Wanamuonea na vitendo hivyo ni vya kihalifu.
Nadhani anastaili kufanyiwa hivyo kwanini ajiwekee jenereta? inamaana umeme sijui kama utakuja ndio maana ameamua kujiiwekea umeme.
Safi I support you
 
Jazba nyingine za kipuuzi. Miezi sita tu imepita wanaanza kulalamika. Walitaka kila mtu apewe jenereta? Wanamuonea na vitendo hivyo ni vya kihalifu.
we ni mku...nd.... hauogi ...anaonewa kwani anachukua PESA KWA BABAKE... ACHA UKUMA... I DONT CARE.............. PPZ.......
 
Back
Top Bottom