Jimbo la Ubungo latengewa bil 18.4

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Waliokuwa Wanasema oh Mnyika haleti Maji Ubungo.. Semeni tena sasa. Maana Kelele ni Nyingi...

SUBIRA YAVUTA HERI... Si kelele tu
 
ni katika miradi ya maji ya kisima cha mpera na kimbiji ambayo kama ikikamilika tatizo la maji litakua limekwisha jiji dar na hata kwa ubungo. bravo kamanda unapiga kotekote.
 
Kama ni kweli nampa Mungu utukufu kwa sababu amesikia kilio chetu watu wa Mbezi kwa Msuguri. Mungu mbariki Mh. Mnyika, Mungu Ibariki Tanzania.
 
kutengewa pesa na utekelezaji vitu viwili tofauti apa tanzania,cha muhimu nim kufatilia pesa zilizotengwa zitumike kwa mipango iliyokusudiwa bila kuleta ufisadi
 
Waliokuwa Wanasema oh Mnyika haleti Maji Ubungo.. Semeni tena sasa. Maana Kelele ni Nyingi...

SUBIRA YAVUTA HERI... Si kelele tu

Sema waliosema serikali haitekelezi ahadi sake wajitokeze sasa, Mh. Washwa washwa hana kitu ni serikali ndio yafanya hayo, shukuruni serikali
 
hongera mnyika ila ujitahidi hizo pesa zitumike ipasavyo kama mlivyokusudia.
 
Hebu ngoja kidogo hadi hapo; ewe mwenzetu Mwigulu kwako wewe neno SERIKALI huwa inaleta maana gani? Je, walimu wako wa somo la siasa kule shule za msingi nao walipata kukueleza kuwa neno SERIKALI lina maana gani?

Hongereni Wana-Ubungo kwa kuendelea kupigania maendeleo yenu hasa upatikanaji wa maji bila kuchoka.

Sema waliosema serikali haitekelezi ahadi sake wajitokeze sasa, Mh. Washwa washwa hana kitu ni serikali ndio yafanya hayo, shukuruni serikali
 
Hatuchagui wapasha mabenchi motto sisi.......Pambana Kamanda Mnyika wapeleke puta mbayaa hiyo ndiyo Sera yetu.Unafiki na Maneno ya kupakana mafuta hapa NO
 
nashauri watu wawe na tabia ya kujishuhulisha kuliko kukaa chini na kulalamika kila siku.angalia kama watu wangelikuwa na tabia ya kujenga kuvuna maji ya mvua kila mwaka tusingelikuwa na lawama kama hizi kila siku kuhusiana na maji
 
Mnyika analeta maji ameyatoa wapi? au ndio kuwahadaa wananchi?

Hiyo mipango ya serikali ipo kwenye Manifesto :happy:
 
Back
Top Bottom