Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ni hari ya ukame na njaa katika kata ya Oljoro iliyopelekea wananchi kushindwa kujishughurisha na shughuri zingine za kiuchumi na imepelekea mbubge wa Simanjiro kifika na kutoa ahadi yenye uwalakini kwani kasema kuwa amewasikia na atalifikisha katika ngazi husika hasa katika wizara ya waziri mkuu kitengo cha maafa ili kuangalia kama kuna chochote cha kuwanusuru wananch hao na njaa kali.
Jiulize ingekuwa wakati wa kampeni ingengojea hekima ya kamati ya maafa ya waziri mkuu?
Jiulize ingekuwa wakati wa kampeni ingengojea hekima ya kamati ya maafa ya waziri mkuu?