Elections 2010 Jimbo la Ngara: Mgombea wa CCM matibabuni; wapambe wamnadi kwa picha!

MAWANI

Member
May 12, 2009
71
1
Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid bila kuwa na washabiki wengi, Mgombea wa CCM Ntukamazina yuko kwenye matibabu India baada ya kupata ajari jijini Dar.

Habari zinasema kwamba viongozi wa CCM wa wilaya wanatembeza picha ya mgombea na kuendesha kampeni mpaka hapo atakaporudi.

Habari hizi nimezipata kwa njia ya simu toka kwa rafiki yangu aliyeko jimbo hilo la uchaguzi. kama kuna aliye na habari zaidi au picha, atujuze zaidi.
 
CHADEMA hawakuweka mgombea huko?
 
Kwanza kabisa namwombea Ndg. Ntukamazina arudie afya njema mapema.

Pili, sijali kama ni CUF, Chadema au NCCR.... as long as kuna representation kubwa ya vyama vya upinzani ndani ya Bunge lijalo, hili litakuwa jambo jema katika ukuaji wa demokrasia wa Taifa letu. Ubabe na ubutu wa hoja ndani ya Bunge kwa wabunge wengi wa CCM kwa miaka nenda rudi umenichosha na naamini umechosha wengi!!
 
Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid bila kuwa na washabiki wengi, Mgombea wa CCM Ntukamazina yuko kwenye matibabu India baada ya kupata ajari jijini Dar.

Habari zinasema kwamba viongozi wa CCM wa wilaya wanatembeza picha ya mgombea na kuendesha kampeni mpaka hapo atakaporudi.

Habari hizi nimezipata kwa njia ya simu toka kwa rafiki yangu aliyeko jimbo hilo la uchaguzi. kama kuna aliye na habari zaidi au picha, atujuze zaidi.

Kwanza huyu mgombea wa CCM ni Mtanzania halisi kweli? Si wangefanya kama Kakobe - angerekodi kanda na wao kuzipiga!!!
 
CCM si wmwambie tu mtaalamu wao Shekh Yahya ili amtibie fasta arudi jimboni!
 
Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid bila kuwa na washabiki wengi, Mgombea wa CCM Ntukamazina yuko kwenye matibabu India baada ya kupata ajari jijini Dar.

Habari zinasema kwamba viongozi wa CCM wa wilaya wanatembeza picha ya mgombea na kuendesha kampeni mpaka hapo atakaporudi.

Habari hizi nimezipata kwa njia ya simu toka kwa rafiki yangu aliyeko jimbo hilo la uchaguzi. kama kuna aliye na habari zaidi au picha, atujuze zaidi.

Inawezekana huyo mgombea wa ccm hali yake haikuwa nzuri hata kabla. Kitendo cha kuchukua watu kisa eti maarufu ndo kina fanya wachemshe. Hilo jimbo Mungu kaamua kulipeleka kwa wapinzani bila jasho!
 
CHADEMA hawakuweka mgombea huko?
Wagombea wa Chadema Kagera na majimbo yao
KAGERA
1 Muleba Kaskzn Msedemu Milanga
2 Karagwe Deusdedit Jovin
3 Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare
4 Kyerwa Innocent kato6 Nkenge Walter Nyahoza.
7 Bukoba vijijini Artides Ndibalema
8 Biharamulo Magharibi Dr. Anthony G. Mbassa
9 Biharamulo Mashariki Vedastus Lukumbuzya
10 Ngara Robson Robert Mushika
 
Vipi nafasi ya mgombea huyu wa Chadema ama naye hakubaliki
 
Wagombea wa Chadema Kagera na majimbo yao
KAGERA
1 Muleba Kaskzn Msedemu Milanga
2 Karagwe Deusdedit Jovin
3 Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare
4 Kyerwa Innocent kato6 Nkenge Walter Nyahoza.
7 Bukoba vijijini Artides Ndibalema
8 Biharamulo Magharibi Dr. Anthony G. Mbassa
9 Biharamulo Mashariki Vedastus Lukumbuzya
10 Ngara Robson Robert Mushika

Nkenge yupo bwana - Walter Nyahoza.
 
Watanzania utawaweza!!?
Mwaka 1990 tulichagua kati ya mgombea Mwinyi na kivuli na baada ya matokeo tukashangilia sana ushindi na kujisifu "eti" uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na tunadumisha demokrasia. Ipo siku watoto na wajukuu zetu watang'oa misalaba na zile alama za nyota na miezi kwenye makaburi yetu. Kwa sababu wataanza kufikiri sana juu ya uwezo wetu wa kufikiri wa sasa na hawatapata jibu....... Wakijaribu kututofautisha na nyani au mnyama mwingine yeyote, hawataona tofauti.

MUNGU ATUSAIDIE!!!!
 
Back
Top Bottom