Jimbo la musoma mjini ccm watalipat tena?

Uzi wako haujitoshelezi kabisa, yaani ni kama mtu ambaye hajui aandike nini!!!!

Hebu eleza jimbo hilo saizi linashikiliwa na nani kwanza halafu toa kamchanganuo kadogo ili hata asiye mwanasiasa aweze kuchangia.
 
Jimbo lilikuwa mikononi mwa CCM kupitia mbunge Mathayo, katika uchaguzi uliopita likachukuliwa na CHADEMA swali ni je CCM wafanyeje ili kulinusuru hili jimbo? Taratibu wanajamii
 
Jimbo lilikuwa mikononi mwa CCM kupitia mbunge Mathayo, katika uchaguzi uliopita likachukuliwa na CHADEMA swali ni je CCM wafanyeje ili kulinusuru hili jimbo? Taratibu wanajamii

we boya kweli,umekula chakula cha mchana?we nani kakwambia wanauwezo wa kulichukua?na walichukue ili iweje?Gamba mkubwa wewe.
 
Gwatabhikurume,
Inaonekana wewe ni mwenyeji wa Musoma. Wewe unataka iweje? Vincent ameshindwa kazi? Kwa nini CCM irudi? Ukishajibu hayo tunaweza kuendelea na mada.
 
Watu wa huko kwenu huwa wana akili ila wewe unawaangusha kwa ukilaza na majungu ndugu yangu,juzi ulitumwa humu na jina jingine leo imekuja vingine? Unadhalilisha watu wa huko
Jimbo lilikuwa mikononi mwa CCM kupitia mbunge Mathayo, katika uchaguzi uliopita likachukuliwa na CHADEMA swali ni je CCM wafanyeje ili kulinusuru hili jimbo? Taratibu wanajamii
 
Jimbo hili haliwezi kurudi ccm labda cdm wahamue kuwaachia. Kwa muda mfupi people wamefanya maendeleo ya kuweka mji katika hali ya kutambulika kimataifa. Njoo ujionee mwenyewe.
 
Mathayo atoboa
siri ya kushindwa
Ubunge.

Na Sitta Tumma, Musoma
MBUNGE wa zamani wa
Jimbo la Musoma Mjini
mkoani Mara na mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya
CCM (NEC), Vedastus
Mathayo, ametoa siri ya kushindwa kwake nafasi
hiyo, huku akilia na
propoganda zilizoenezwa
dhidi yake.
Amesema, kuangushwa
kwake na mbunge wa sasa, Vincent Nyerere
(CHADEMA), katika
uchaguzi mkuu uliopita
2010 kumetokana na kile
alichokiita kupakaziwa
maneno na kuundiwa fitina zisizokuwa na
ukweli ndani yake.
Akihutubia mkutano wa
hadhara uliofanyika
kwenye viwanja vya
Shule ya Mukendo, Mathayo ambaye alikuwa
akizungumza huku
akikatizwa kwa
kuzomewa mkutanoni
hapo, alisema miongoni
mwa tuhuma alizokuwa akitupiwa wakati wa
kampeni ni kuhusu madai
ya kujimilikisha viwanja
katika maeneo mbali
mbali ya miradi mjini
hapa. “Nilipakaziwa na
kuundiwa zengwe
zisizokuwa na ukweli,”
alisema kisha kuzomewa.
Baada ya kuzomewa
akasema tena: “Ninyi pigeni kelele tu, Chroloquine ni chungu
lakini inaponya ,” akazomewa tena.
Katika mkutano huo
uliomalizika saa 12:15
jioni, chini ya ulinzi mkali
wa askari wa Kutuliza
Ghasia (FFU), mjumbe huyo wa NEC, Mathayo,
alitumia fursa hiyo
kuwaasa vijana
kuachana na kile
alichokiita 'ushabiki' wa
kisiasa.
 
Bado anazomewa duh huyu hawafai akina Muraa
Mathayo atoboa
siri ya kushindwa
Ubunge.

Na Sitta Tumma, Musoma
MBUNGE wa zamani wa
Jimbo la Musoma Mjini
mkoani Mara na mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya
CCM (NEC), Vedastus
Mathayo, ametoa siri ya kushindwa kwake nafasi
hiyo, huku akilia na
propoganda zilizoenezwa
dhidi yake.
Amesema, kuangushwa
kwake na mbunge wa sasa, Vincent Nyerere
(CHADEMA), katika
uchaguzi mkuu uliopita
2010 kumetokana na kile
alichokiita kupakaziwa
maneno na kuundiwa fitina zisizokuwa na
ukweli ndani yake.
Akihutubia mkutano wa
hadhara uliofanyika
kwenye viwanja vya
Shule ya Mukendo, Mathayo ambaye alikuwa
akizungumza huku
akikatizwa kwa
kuzomewa mkutanoni
hapo, alisema miongoni
mwa tuhuma alizokuwa akitupiwa wakati wa
kampeni ni kuhusu madai
ya kujimilikisha viwanja
katika maeneo mbali
mbali ya miradi mjini
hapa. “Nilipakaziwa na
kuundiwa zengwe
zisizokuwa na ukweli,”
alisema kisha kuzomewa.
Baada ya kuzomewa
akasema tena: “Ninyi pigeni kelele tu, Chroloquine ni chungu
lakini inaponya ,” akazomewa tena.
Katika mkutano huo
uliomalizika saa 12:15
jioni, chini ya ulinzi mkali
wa askari wa Kutuliza
Ghasia (FFU), mjumbe huyo wa NEC, Mathayo,
alitumia fursa hiyo
kuwaasa vijana
kuachana na kile
alichokiita 'ushabiki' wa
kisiasa.
 
mathayo atoboa
siri ya kushindwa
ubunge.

Na sitta tumma, musoma
mbunge wa zamani wa
jimbo la musoma mjini
mkoani mara na mjumbe
wa halmashauri kuu ya
ccm (nec), vedastus
mathayo, ametoa siri ya kushindwa kwake nafasi
hiyo, huku akilia na
propoganda zilizoenezwa
dhidi yake.
Amesema, kuangushwa
kwake na mbunge wa sasa, vincent nyerere
(chadema), katika
uchaguzi mkuu uliopita
2010 kumetokana na kile
alichokiita kupakaziwa
maneno na kuundiwa fitina zisizokuwa na
ukweli ndani yake.
Akihutubia mkutano wa
hadhara uliofanyika
kwenye viwanja vya
shule ya mukendo, mathayo ambaye alikuwa
akizungumza huku
akikatizwa kwa
kuzomewa mkutanoni
hapo, alisema miongoni
mwa tuhuma alizokuwa akitupiwa wakati wa
kampeni ni kuhusu madai
ya kujimilikisha viwanja
katika maeneo mbali
mbali ya miradi mjini
hapa. "nilipakaziwa na
kuundiwa zengwe
zisizokuwa na ukweli,"
alisema kisha kuzomewa.
Baada ya kuzomewa
akasema tena: "ninyi pigeni kelele tu, chroloquine ni chungu
lakini inaponya ," akazomewa tena.
Katika mkutano huo
uliomalizika saa 12:15
jioni, chini ya ulinzi mkali
wa askari wa kutuliza
ghasia (ffu), mjumbe huyo wa nec, mathayo,
alitumia fursa hiyo
kuwaasa vijana
kuachana na kile
alichokiita 'ushabiki' wa
kisiasa.
hana sera mhe. Mathayo ameishiwa cha kuongea.
 
Back
Top Bottom