Jimbo la mh Lukuvi kero

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,488
Habar JF!.
Napenda kusikiliza kipindi cha Radio Tumaini asubh kwenye Kero. Leo wameongelea kero kwenye kijiji cha Kipinga lipo jimbo la mh Lukuvi. Wananchi wanakunywa maji machafu,hapo ndio kati lakin hawana sekondari. Pia tangu Mh ameingia madarakani hajawahi kufika hapo kuongea na wananchi.
Hivi hawa viongozi wakiwa wanaomba uongozi hua wanaongoza watu au picha za watu?
Tutafika kweli kwenye maendeleo?
SOurce Radio Tumaini.
 
kijiji kingine cha Ikengeza jimbo hilolhilo maji safi kwao ni ndoto, kisima wanatumia binadamu na mifugo yao pia.
 
Jimbo ambalo halina malalamiko ya shule, maji, umeme, barabara katika Tanzania ni Igunga tu. Kwanini?
 
Back
Top Bottom