Jimbo la chadema pemba....tume semeni

Itakuwa ni maajabu ya mwaka kama ni kweli. Je huyu Bibie Sitti aliyajua haya? Maana matokeo ya ubunge yanaanza kumgusa mgombea ndipo chama kinakuja.

Lakini Chama (CDM) kinapaswa kutoa tamko hapo haraka.

Asante MK kwa kutibua maji.
 
Jamani nilipost jana ila nadhani sikueleweka.

Kwa matokeo yaliyopo kwenye tume ya uchaguzi inaonekana kuwa Chadema walishinda Ubunge Pemba jimbo la Chambani na
A%20S%20embarassed.gif

Wakachakachua ushindi kwa mshindi wa Pili Gamb
A%20S%20embarassed.gif
a.

Angalia matokeo haya ya mwaka jana nilivyoyapata toka kwenye mtandao wa Tume.

Kuna muda kweli wa kwenda mahakamani kudai haki??
A%20S%20embarassed.gif

KUSINI PEMBA

MKOANI
CHAMBANI
Candidate

Political Party

Number of Votes

Percentage Votes
[URL="http://www.nec.go.tz/2010/ParliamentaryPhotos/5b4300a1-f359-4bc6-8b36-bbb683a667c4.jpg"]SITI USSI SHAIB

CHADEMA
3,351
76.3
MOH'D ABDUL-RAHMAN MWINYI

CCM
624
14.21
MUHAMMED JUMA MUHAMMED

TLP
211
4.8
SALEH NASSOR HILAL

TADEA
88
2
SALIM HEMED KHAMIS

CUF
43
0.98
SPOILT VOTES
75
1.71
TOTALS
4,392
100

[/URL]
hizi habari cjui kama zina ukweli wowote maana CCM pia hawana mbunge yoyote pemba!!!!
 
Jamaa wana raha! watu 4000 wanachagua Mbunge? wakati huku bara huyo ni mwenyekiti wa mtaa.
 
The FACT......Matokeo ya URAIS : Mkwe.re 48%, Dr Slaa 42 %.
Ucahguzi ulikuwa urudiwe wakuu jamaa wakachakachua
 
Nilikuwa na wasi wasi na matokeo aliyoleta mtao hoja. Nimwekenda mwenyewe kwenye website ya tume kuhakikisha. Mtoa mada yuko sahihi. Chadema tafadhali fuatilieni hili kwa ukaribu tafadhali.
 
Nahisi Tume walikosea katika ku post matokeo kwenye website,inavyoonekana Sehemu ya CUF wameweka CHADEMA
 
TISS's mind set, mnachezewa na nyie mnataka kuingia kichwa kichwa hapa kuna mtu alikuwa target ili wapate kusema mropokaji, kwa akili ya kawaida utakubali CDM kupata kura hizo Pemba.
 
Jamani nilipost jana ila nadhani sikueleweka.

Kwa matokeo yaliyopo kwenye tume ya uchaguzi inaonekana kuwa Chadema walishinda Ubunge Pemba jimbo la Chambani na
A%20S%20embarassed.gif

Wakachakachua ushindi kwa mshindi wa Pili Gamb
A%20S%20embarassed.gif
a.

Angalia matokeo haya ya mwaka jana nilivyoyapata toka kwenye mtandao wa Tume.

Kuna muda kweli wa kwenda mahakamani kudai haki??
A%20S%20embarassed.gif

KUSINI PEMBA

MKOANI
CHAMBANI
Candidate

Political Party

Number of Votes

Percentage Votes
[URL="http://www.nec.go.tz/2010/ParliamentaryPhotos/5b4300a1-f359-4bc6-8b36-bbb683a667c4.jpg"]SITI USSI SHAIB

CHADEMA
3,351
76.3
MOH'D ABDUL-RAHMAN MWINYI

CCM
624
14.21
MUHAMMED JUMA MUHAMMED

TLP
211
4.8
SALEH NASSOR HILAL

TADEA
88
2
SALIM HEMED KHAMIS

CUF
43
0.98
SPOILT VOTES
75
1.71
TOTALS
4,392
100

[/URL]

mkuu ni kama umeniwahi ni juzi tu nilipita kwenye hiyo web ya nec ikanishangaza sana nkajiuliza itakuwa imekosewa au la. chadema walitolee ufafanuzi hili swala kabla halijafika mbali
 
Huu uchakachuaji wa CCM Tanzania Bara na Visiwani ni mpaka aibu tupu!!!!! Jaji Makame, unajisikiaje kwa aibu kama hii huko ilikostaafia wewe na fedheha hizi ulizotuletea kama taifa?

Eti tume inaanda uchaguzi huru na wa haki nchini Tanzania na mambo yenyewe ndio kama haya yalioibuliwa hadharani, je kwingineko sasa kutakua ni vipi vile; my foot!!!!!!!!!!
 
The FACT......Matokeo ya URAIS : Mkwe.re 48%, Dr Slaa 42 %.
Ucahguzi ulikuwa urudiwe wakuu jamaa wakachakachua

kwa kumhofia Dr. Mrema, CCM ya Mkapa waliifuta sheria ya duru la pili ya uchaguzi

Tanzania unaweza ukapata 20% ya kura na ukawa rais
 
Hopo ndo pameonekana,
zipo sehemu nyingi sana zilizochakachuliwa kwa kiwango kibubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom