Jimama limeniachia, nimerudi

ilikuwa mambo ya cheza chezaq cheza jimama cheza...umepungua kilo ngapi?
 
atakayekuwa mkeo hapo baadaye - ana hasara - inaonekana hujatulia - huna heshima - huna shukurani - kama ulikuwa hutumii condom - tafadhali nenda angaza leo hii
 
Wapendwa habari za siku nyingi,

Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.

Je nyie hamjambo?

Kashaijabutege

Nenda loliondo kwa babu kwanza ukapime afya yako.
ukirudi utuletee "the loliondo wonders III"
 
Wapendwa habari za siku nyingi,

Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.

Je nyie hamjambo?

Kashaijabutege

Ivi haya ya kweli au! Yani people humu MMU wanaenda mbali kiasi hicho?Au mkuu unatuchuuza! i dnt believe this!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom