Jimama limeniachia, nimerudi

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wapendwa habari za siku nyingi,

Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.

Je nyie hamjambo?

kijana unapenda sana kulelewa eeeh,
alikuvisha na nepi kabisa, pampers je?...........................
 
Du, nimekumekutuma uje kusema hapa? Ukirudi utanitambua.
 
Kwani sifa sasa...!
Hata masista do na wale wa . com hujua kuwalea wakwao chaajabu nini kulishwa na kuvishwa? Aaah! Hata ndege hulishana sio tija wala nini! My take : we kama daftari la reception kila atakayetembelea ofisi lazima akusaini.
 
Jimama?????? yani hii ndio shukrani yako baada ya kufaidi?
 
Mijitu ya humu mingine inaboa , sasa unatangaza ili iweje, mbona mlivokuwa mnatakana hukutuambia
 
hilo jimama lilikufichaje sasa? lilikuteka au yalikuwa maamuzi yako kufichwa???
 
Halafu wakinyimwa wanalalamika...huu ni utoto kule secondary unapewa unaenda tangaza bwenini mpaka uutu uzimani ni hivo looooooo embu tuwe watu wazima humu
 
Wapendwa habari za siku nyingi,

Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.

Je nyie hamjambo?

Kashaijabutege

Vya bure vinaumiza kijana

Angalia asije akakuunganisha kwa mapusha
 
huo ni utoto,mambo yako ya mapenzi na mwana jf,sio vizuri kuyatangaza humu.unasema ili iweje?jaribu kutuheshimu
 
njoo unilee mwaya,
na hivi navyopenda kudeka lol.....

aya bas fanya utoke kazin mapema nkupeleke shopng kuanzia pampas mpka soks ..
na vyakula vyote..vile mahusus cz we kaz yako itakuwa moja tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom