Jimama lamtembezea kipigo jamaa

Jamaa alidhibitiwa vilivyo.Halafu nimegundua ni hatari sana kupigana na mwanamke wakati una hasira za kupitiliza,anakudunda.
 
Kwanza habari yako haieleweki na jinsi ulivyoelezea hujatupa mkasa wenyewe na chanzo chenyewe
 
dah yani demu ni balaa asee..! ukipata kama hili halafu likakufumania mzee unakua mdogo kinyama yani..! unaishia kujuta kwanini umemuoa na kumuacha huwezi..! kuna jamaa tanga alikua anapewa mambo na wife wake..! kinyama ila..! alikua anamfichia siri mumewe..! hata alikua akimpa mambo alikua lazima afunge nyumba..! wacha kabisaa..!



Mkuu unataka kuniangusha sasa, unasahau kuwa la hivi huwa halina mbioo..
 
Yaani bangibangi tu, baada ya kupigana, wanapasiana fegi....Kaazi kwelikweli.
 
Hii ni hatari sana. Ukizoea kumtoa mamsap wako kwenda kwenye outings za kitimoto na bia undue kuna siku atakushikia china Kama hugo jamaa!
 
Back
Top Bottom