Jiji limemshinda William Lukuvi?

ohh! sorry.Lakini hii ndio lifestlye yetu ya kujibu kwa maswali.No wonder jiji linanuka kwa ajili hii.
But am sore nilivosoma post yako i though you know much than me kuhusu madaraka ya ukuu wa mkoa wa Dar.Na ndio maana nikataka kukudadisi ili unifafanulie.
Ila mimi nijuavyo Mkuu wa mkoa ana mamlaka juu ya wakuu wa wilaya na anaweza kuwatuma akiwa pamoja na meya.
sore again for disturbance.
haina kwere mkuu... mimi nadhani tunaweza kupunguza idadi ya viongozi na tukafanya vizuri zaidi, tena tungeanza na wakuu wa mikoa... they are not important
 
It begins with you! stop blaming Lukuvi. kila mtu akiplay part yake jiji liatakuwa safi period!
 
ohh! sorry.Lakini hii ndio lifestlye yetu ya kujibu kwa maswali.No wonder jiji linanuka kwa ajili hii.
But am sore nilivosoma post yako i though you know much than me kuhusu madaraka ya ukuu wa mkoa wa Dar.Na ndio maana nikataka kukudadisi ili unifafanulie.
Ila mimi nijuavyo Mkuu wa mkoa ana mamlaka juu ya wakuu wa wilaya na anaweza kuwatuma akiwa pamoja na meya.
sore again for disturbance.

Shemeji, wakuu wa mikoa na wilaya wao wako katika mfumo wa kisiasa, wa kiutawala to be precise, kwa hiyo wanakuwa chini ya Rais au tuseme wanamwakilisha Rais kama mtawala.

kwa upande wa mameya, wale wapo chini ya decentralisation, kwa hiyo tunapozungumzia serikali za mitaa, mameya ndo wapo kule. Tukiongea suala la kila mtu kuwa na madaraka hapo ndo mkanganyiko kwa sababu kwa upande mmoja meya yupo serikali 'nyingine' na mkuu wa wilaya/mkoa wapo kwingine. Kimsingi wakurugenzi wa manispaa ndo watekelezaji wa programu mbali mbali na ndo wenye mafungu ya pesa. watawala hawana hela za kihivyo kwa sababu hawana miradi ya maendelea ya kutekeleza.

That said, inatakiwa coordination ya hali ya juu kati ya mihimili hii miwili, na unaposikia wanajamvi wanalalamikia kuwa hata system iliyopo ni ngumu/mbaya., mojawapo ni hili
 
It begins with you! stop blaming Lukuvi. kila mtu akiplay part yake jiji liatakuwa safi period!
Nakubaliana na wewe na ninapinga vilevile.Kwani maana hasa ya dhaman ya uongozi ni kitu gani? na sheria zimewekwa ili iweje? zivunjwe? There must be someone with AUTHORITY to held others accountable.
Kwa jiji la Dar utegemee muujiza eti kila mtu abadili tabia ni ngumu.Labda ianze kampeni ya ku-create awareness na kutoa elimu,but the question is who will initiate the move?
Jibu langu bado linakuja Mkuu wa mkoa (kama ni Lukvi au nani sijui)is responsible
na ndio maana lawama tunamtupia kwani yeye ndio baba wa nyumba/familia(ya Jiji)
 
Shemeji, wakuu wa mikoa na wilaya wao wako katika mfumo wa kisiasa, wa kiutawala to be precise, kwa hiyo wanakuwa chini ya Rais au tuseme wanamwakilisha Rais kama mtawala.

kwa upande wa mameya, wale wapo chini ya decentralisation, kwa hiyo tunapozungumzia serikali za mitaa, mameya ndo wapo kule. Tukiongea suala la kila mtu kuwa na madaraka hapo ndo mkanganyiko kwa sababu kwa upande mmoja meya yupo serikali 'nyingine' na mkuu wa wilaya/mkoa wapo kwingine. Kimsingi wakurugenzi wa manispaa ndo watekelezaji wa programu mbali mbali na ndo wenye mafungu ya pesa. watawala hawana hela za kihivyo kwa sababu hawana miradi ya maendelea ya kutekeleza.

That said, inatakiwa coordination ya hali ya juu kati ya mihimili hii miwili, na unaposikia wanajamvi wanalalamikia kuwa hata system iliyopo ni ngumu/mbaya., mojawapo ni hili
asante Kaizer kwa kuiweka vizuri... that been said, do we need wakuu wa wilaya na mikoa wakati tuna wabunge nao ni wa kisiasa na madiwani pia wa kisiasa?

hamuoni ni namna ya chama tawala kuongeza muscles ili kuweka base za kibabe mikoani?
 
nakupa kumi kabisa... lakini pia yeye mweupe mazee
Unajua wabongo tuna matatizo, ni sisi sisi tunaolalamika ndo utatukuta tuko kwenye magari tunatuoa chupa za maji kwa kupitia madirishani, ndo sisi sisi tunaotupa makaratasi ya big G, pipi, na ndo sisi tunaotumia mifuko ya plastic na kuitupa ovyo, ni sisi sisi tunaokojoa hovyo mitaani na kwenye kuta, ndo sisi ambao tukiwa na magari yetu barabarani tunatanua na kusababisha jam, yani ni kama sisi ni wendawazimu, hatuna utaratibu hata kidogo, hata watoto wetu hatuwafundishi hizi manners matokeao yake kizazi hata kizazi tunarithi uchafu. mi natamani kuona watanzania tukibadilika.
 
Shemeji, wakuu wa mikoa na wilaya wao wako katika mfumo wa kisiasa, wa kiutawala to be precise, kwa hiyo wanakuwa chini ya Rais au tuseme wanamwakilisha Rais kama mtawala.

kwa upande wa mameya, wale wapo chini ya decentralisation, kwa hiyo tunapozungumzia serikali za mitaa, mameya ndo wapo kule. Tukiongea suala la kila mtu kuwa na madaraka hapo ndo mkanganyiko kwa sababu kwa upande mmoja meya yupo serikali 'nyingine' na mkuu wa wilaya/mkoa wapo kwingine. Kimsingi wakurugenzi wa manispaa ndo watekelezaji wa programu mbali mbali na ndo wenye mafungu ya pesa. watawala hawana hela za kihivyo kwa sababu hawana miradi ya maendelea ya kutekeleza

That said, inatakiwa coordination ya hali ya juu kati ya mihimili hii miwili, na unaposikia wanajamvi wanalalamikia kuwa hata system iliyopo ni ngumu/mbaya., mojawapo ni hili

Nimekuelewa.Lakin hawa wakurugenzi wa manispaa wanaokalia mafungu hadi jiji linanuka wapo chini ya nani? meya au mkuu wa mkoa?
 
Unajua wabongo tuna matatizo, ni sisi sisi tunaolalamika ndo utatukuta tuko kwenye magari tunatuoa chupa za maji kwa kupitia madirishani, ndo sisi sisi tunaotupa makaratasi ya big G, pipi, na ndo sisi tunaotumia mifuko ya plastic na kuitupa ovyo, ni sisi sisi tunaokojoa hovyo mitaani na kwenye kuta, ndo sisi ambao tukiwa na magari yetu barabarani tunatanua na kusababisha jam, yani ni kama sisi ni wendawazimu, hatuna utaratibu hata kidogo, hata watoto wetu hatuwafundishi hizi manners matokeao yake kizazi hata kizazi tunarithi uchafu. mi natamani kuona watanzania tukibadilika.

Nimekupata vizuri Carmel.Lakini ukienda kwa wenzetu pale Moshi kuna sheria na zinasimamiwa mpaka zinawafundisha watu adabu.nasikia Pale moshi ukikutwa unatupa taka mjini ni elfu 50.si unaona walivyofanikiwa.Sasa kama hii ndio tabia ya mabongo unadhani watabadilika vipi?We need to strat somewhere na mimi naona tunahitajia tu usimamizi makini toka kwa kiogozi makini tutabadilika tu.Vinginevyo hakuna muujiza mwingine wa kutubadilisha.
 
Nimekuelewa.Lakin hawa wakurugenzi wa manispaa wanaokalia mafungu hadi jiji linanuka wapo chini ya nani? meya au mkuu wa mkoa?

yeye si mkuu wa mkoa?? basi awape za uso wafanye kazi!! anamwakilisha rais

again, tatizo ni mfumo
 
Nakubaliana na wewe na ninapinga vilevile.Kwani maana hasa ya dhaman ya uongozi ni kitu gani? na sheria zimewekwa ili iweje? zivunjwe? There must be someone with AUTHORITY to held others accountable.
Kwa jiji la Dar utegemee muujiza eti kila mtu abadili tabia ni ngumu.Labda ianze kampeni ya ku-create awareness na kutoa elimu,but the question is who will initiate the move?
Jibu langu bado linakuja Mkuu wa mkoa (kama ni Lukvi au nani sijui)is responsible
na ndio maana lawama tunamtupia kwani yeye ndio baba wa nyumba/familia(ya Jiji)
Hta wewe Charity unaweza kuanzisha hiyo campeni ya kuchange hii mentality ya wabongo. For example jipangie siku uwe unapita mashuleni, hata shule za msingi ukatoe awareness hii, nennda vyuoni, nenda makanisani, nenda kwenye makusanyiko popote uombe dakika kumi tu, you will be doing something useful which in the long run would prove that we can, hata kama lukuvi and whoever else didnt try. It takes time, yes, but Rome wasnt built over nite, with time we will be there, where we want.
 
Its true mamaaa.Lakini tukitaka kuangalia kwa jicho la tofauti yeye Lukuvi afanye kazi gani? Yeye kapewa mafungu kwa ajili ya kazi hiyo na yalipitishwa na bunge.Mimi nipo tayari kufanya kazi hiyo kama ataniwezesha kwa vile naamini yeye ana rungu la kufanya hivo.Na kwa hali ya kawaida huwa nashindwa kutupa takataka njiani binafsi yangu.
Labda hujanielewa vizuri,mimi sikatai kuwa sehemu ya mabadiliko,lakini tunachoongelea hapa ni UCHAFU/KERO za jiji na Responsibilities za mkuu wa koa,Mameya na Wakurugenzi wa Manispaa.
 
asante Kaizer kwa kuiweka vizuri... that been said, do we need wakuu wa wilaya na mikoa wakati tuna wabunge nao ni wa kisiasa na madiwani pia wa kisiasa?

hamuoni ni namna ya chama tawala kuongeza muscles ili kuweka base za kibabe mikoani?

Mkuu, hili ni mjadala unaojitegemea kabisa

nakumbuka kuwa hizi nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa ziliwekwa tangia ukoloni, ili kuendeleza utawala wa wakoloni. tulivopata uhuru wa bendera, wale waliobahatika kupata nafasi alizokuwa nazo mkoloni, wakawa na wenyewe wanataka hizi ziendelee ili utawala uendelee

tumeenda tukaona hapan, madaraka yarudi mikoani...ndo kisa cha programu ya amdaraka mikoani miaka ile ya sabini sijui, kisha ikafutwa kila kitu kikawa centralised, then nadhani kwa ushauri wa wenzetu ikabidi serikali za mitaa zirudi miaka ya mwanzoni mwa themanini, huku tukiwa bado na nafasi za watawala (DCs na RCs)

sasa hao kama ulivosema wapo pale kwa interests za utawala uliowaweka kwa maana ya Mh Rais na ndiye anayewateua.

Kuna vyama kama CHADEMA na sera yao ya majimbo nadhani wanmgeshinda wangeabolish hii system kabisa.
 
Nimekuelewa.Lakin hawa wakurugenzi wa manispaa wanaokalia mafungu hadi jiji linanuka wapo chini ya nani? meya au mkuu wa mkoa?

Shemeji,

wakurugenzi wapo chini ya ofisi ya waziri mkuu. (ironically, wanateuliwa na Rais). wao ni WATENDAJI. kama kuna watu wa kuwajibishwa, wanaanza kuulizwa wa manake ndo wenye mafungu..kwenye halmashauri zote nchi hii,

Meya yeye ni kiongozi wa madiwani, ni mwanasiasa vile vile! ila kwa upande wa serikali za mitaa. Mkuu wa mkoa yupo serikali kuu kama MTAWALA wa mkoa kwa NIABA ya Rais...

sasa mkanganyiko huo ndo wakati mwingine unaleta matatizo kiutendaji manake kila mtu anataka kujiona mkubwa.

mkurugenza anweza kupanga hiki, mkuu wa mkoa akamwambia hiki, huku meya naye akisema kuwa 'manispaa yangu' inataka hiki..mtu unabaki dilemma

ikumbukwe kuwa wakati wa Keenja, jiji lote lilikuwa halmashauri moja lakini siku hizi wamesplit zikawa tatu na bado hakuna ufanisi sana sana ni kuongezeka kwa ukiritimba
 
Majiji mengine kama Arusha hakuna mfumo kama huu? kwa Mwanza bado sijajua hali yake ikoje.na Inakuwaje wao Arusha wanaweza na sisi Dar tushindwe?
Kwa busara zako.Unafikiri nini kifanyike? tuanzie wapi?
 
Tatizo sio Lukuvi ila ni miundo mbinu ya siku nyingi toka wakati ule wa ukoloni mpaka leo bado yanafanya yale yale pamoja na kuongezeka kwa watu katika dar lakini hakuna barabara za kutosha na vitu kama hivyo, sio Lukuvi ni utaratibu mbaya wa serikali na mambo yake
 
ila kama wananchi wa Dar es salaam tupo "comfortable/relaxed" /tunafurahia hali hii, hakuwezi tokea miujiza.
historia inaonyesha changes nyingi zinatokana na wananchi kutoridhishwa na mifumo mibovu na ya kinyonyaji na hivyo kuonyesha kwa vitendo kutoridhishwa huko. iwe kwa maandamano, migomo au namna yoyote ile.

inaonekana hapa Dar everybody is happy, watu wanalalamika chinichini tu oooh mara Lukuvi, oooh mara diwani, ooooh mara meya nk. siku zinakwenda na watu wanajinafasi na wananawili na wanazidi kujijenga. mwisho wa siku wanakuwa hawakamatiki kwani wameshaiba vya kutosha
 
Back
Top Bottom